masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
haijaisha, lazima aende ndani 30yrs.
na kesi imefikia wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haijaisha, lazima aende ndani 30yrs.
Halafu unashika mimba yake unazaa mtoto wa pili. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hizi habari za Flora.Ni upumbavu mume anakunyanyasa miaka 8 Upo kimya hata ndugu zake, zako hujawaambia. kisa navumilia atabadirika. then unasema Alikua anaitwa kwenye vikao vya usuluhishi. kusuluhisha nini sasa??? ajipange aanze maisha mpya. kuongea sana hakutampeleka popote. kama ana issue za kumalizana na mumewe, then ahusishe vyombo husika na sio kina shigongo.
tigo yavunja ndoa
tigo ina balaa
Mmmmmmmhh kumbe ni kwl ndoa yao ina misuko2 nina rafiki yangu mtangazaji wa radio wapo aliwasimamia ndoa yao alishaniambia mara nyingi sana kuwa ndoa yao ina mtafaruku...any way move on frola ila hakuna couple niliyokuwa naipenda kama yenu!!so sad
kidole007;
Usiseme ati tigo yavunja ndoa, wala usiseme ati tigo ni balaa. No, no, noooo. Alipotoa tigo siku moja tu, jamaa akaonja asali akataka achonge mzinga.
Mama akaona jamaa hataki tena uzazi wa majira bali tundu ni tundu tu. Ndo akajua kumbe hio nayo ni dili, ndo akaanza kumnyima. Mtoto wa kike, Mungu amekuinua kiasi hicho, huku unagawa tigo halafu unakuja kuharibu huduma kijinga jinga tu.
Pole zako. Ila, achana na jamaa huyo, tena rudi kundini uombewe upewe adhabu yako ya kiroho. Ukimaliza adhabu, Mungu ana huruma aweza kukurudishia kipawa chako ila ni baada ya kumsahau Imma na huyo baba kei mwingine.
Tubu, mwangalie Mungu na ahidi kutotoa tena tigo milele kwani hilo ni chukizo mbele za Mungu. Asikudanganye mtu ati wanawake mmeumbwa hivyo. Nakataa, njia hiyo si ya kutumika ki hivyo. Ulifanya kumpendeza lakini ona matokeo yake. Leo ni aibu hata kupita njiani.
Ahaaaa..... Yule nani hiiiii hata mie namfahamu. Kumbe huwa anatoa siri za ndoa ya watu nje. Sio ustaarabu hata kidogo
Yapyap kumbe umeshamjua eeehh!!!mwanzo nilikuwa siamini lkn kwa hili ngoja tu niamini ila dah inauma sana!!!
Mbona warukia kwenye hitimisho kuwa alitoa tigo? Why?
msweet;
Sirukii, kasema mwenyewe. Alikuwa anashikiwa panga. Mbona miaka yote alivumilia hata vichapo, wadhani mpaka jamaa anamwambia matundu yote ni ya kazi hiyo unadhani ilikuwa ni mazungumzo ya kawaida?
Jiulize, muda wote kwa nini asiseme ila sasa baada ya midume mingine kumtotoa??? Simkandii ila yeye ndo kasema
Yapyap kumbe umeshamjua eeehh!!!mwanzo nilikuwa siamini lkn kwa hili ngoja tu niamini ila dah inauma sana!!!
jamani, flora anasema kitu cha kweli. i am a lawyer, hata kabla ya kugombana wakati wanapendana nilishawahi kuwa approched na flora akitaka kujua haki za binadamu hasa katika ndoa. niki connect hiki alichosema na vile alivyokuja kwangu nahisi alificha hii kitu kwa kitambo sana na alishaanza kujiandaa kuondoka kitambo sana. hii kitu inahitaji kuchunguzwa kama ni kweli haki itendeke.