haya ndiyo maoni ya mama yangu kuhusu elimu na maisha yangu,

haya ndiyo maoni ya mama yangu kuhusu elimu na maisha yangu,

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
"Mwanangu *soma* la sivyo *utaishia* kuwa *mbunge, waziri au mkuu wa mkoa"*
 
CCM na serikali yake ndio wa kulaumiwa kuaribu Elimu ya Tanzania

Swissme
 
Sasa si bora usisome uwe mbunge au Waziri kuliko kusoma sana na kupata first class afu uko mtaani unazunguka na Bahasha
 
Ndio ilipofikia Tanzania ya leo...daah i wish Mwl. JKN angekuwepo
 
Back
Top Bottom