Nimekuuliza?Sijakipa like eti Kwa sababu umeisifia Yanga na kuipondea Simba,no,nimekupa like Kwa sababu umeongea ukweli kuhusu timu Yako ya Simba,
Naifuatilia JF, sio wewe. Kwani wachungaji wakiorodhesha maovu ya shetani, maana yake ni kwamba wanamfuatilia? Tutaendelea kuorodhesha maovu ya shetani humu JF maana ni jukwaa letu. Sasa akikatiza shetani lazima tuwaonye wanadamu juu ya unafiki wakeUnanichukia na hunikubali halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia hapa JamiiForums.
Upo sahih braza popomaYanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Kwahiyo nawe Unakubali kuwa hata Waliohangaika 6X6 kutuletea Watanzania Matatizo Tukuka Wewe nao pia ni Mashetani kama unavyowaita Wengine hivyo?Naifuatilia JF, sio wewe. Kwani wachungaji wakiorodhesha maovu ya shetani, maana yake ni kwamba wanamfuatilia? Tutaendelea kuorodhesha maovu ya shetani humu JF maana ni jukwaa letu. Sasa akikatiza shetani lazima tuwaonye wanadamu juu ya unafiki wake
Uliotukuka.Genta ktk uhalisia wake
Babatov ilifanyika nn airpot huko mbele. Yote yanayo fanyika hapa tz huko mbele ndio waalimu wetu. Zile hijack zinazotangazwa na fabrizio ni nini..?Tatizo ambalo naliona bado lipo Hadi mwaka 2023 maana nilidhani lingeisha 2022 baada ya kujifunza Kwa matukio ya Manzoki na Bigirimana ni kitendo cha timu kusajili ili ipate VIBE la mashabiki badala ya kusajili Kwa mahitaji. Timu za wenzetu zinashow interest Kwa mchezaji hata kama kuna timu nyingine nayo imetangaza nia. Lakini kwetu eti timu inaweza kutangaza imeiba mchezaji Airport na mashabiki wakashangilia.
Kwa wenzetu Hakuna usajili wa kukomoa Mpinzani, lakini kwetu timu inaweza kusajili mchezaji isiyemuhitaji ilimradi mpinzani wake asimpate (Refer Dominic Salamba na Denis Nkane).
Umekula nn leo....Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Genta wakati fulani unaongea ukweli mtupuπππYanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Simba SC
Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika
Azam FC
Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea
Singida Fountain Gate FC
Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu
Utabiri wangu Kimsimamo....
Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC
Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Yanga SC
Imesajili Kiufundi na Kimkakati
Na wakati mwingine........?Genta wakati fulani unaongea ukweli mtupuπππ
Sawa Rais Wangu wa Unafiki JamiiForums nzima. Nimekuelewa Mimi Mjumbe wako.Genta acha unafikirπ§π§π§
π€π€π€ππππππππ¦Na wakati mwingine........?