Haya ndiyo Maoni yangu kuhusu Usajili wa Simba, Yanga, Azam na Singida Fountain Gate na naomba yaheshimiwe tafadhali

Haya ndiyo Maoni yangu kuhusu Usajili wa Simba, Yanga, Azam na Singida Fountain Gate na naomba yaheshimiwe tafadhali

Yanga hata akiweka kikosi cha tatu wana uhakika wa kuwafunga Azam na Singida wakati Simba inabidi kila mechi apambane haswa. Tofauti iko hapo.

Niliwahi kusema, Simba inabidi wacheze mechi kadhaa za Yanga hasa mwanzoni mwa msimu ili wadondoshe points. Hivi hivi, sijui.....
 
Unanichukia na hunikubali halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia hapa JamiiForums.
Naifuatilia JF, sio wewe. Kwani wachungaji wakiorodhesha maovu ya shetani, maana yake ni kwamba wanamfuatilia? Tutaendelea kuorodhesha maovu ya shetani humu JF maana ni jukwaa letu. Sasa akikatiza shetani lazima tuwaonye wanadamu juu ya unafiki wake

1690877268293.png
 
Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Simba SC

Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika

Azam FC

Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea

Singida Fountain Gate FC

Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu

Utabiri wangu Kimsimamo....

Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC

Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Upo sahih braza popoma

Lkn umesahau kuwa watan wetu tutawadunda nje ndan
 
Naifuatilia JF, sio wewe. Kwani wachungaji wakiorodhesha maovu ya shetani, maana yake ni kwamba wanamfuatilia? Tutaendelea kuorodhesha maovu ya shetani humu JF maana ni jukwaa letu. Sasa akikatiza shetani lazima tuwaonye wanadamu juu ya unafiki wake
Kwahiyo nawe Unakubali kuwa hata Waliohangaika 6X6 kutuletea Watanzania Matatizo Tukuka Wewe nao pia ni Mashetani kama unavyowaita Wengine hivyo?
 
Mtoa mada mwenyewe sasa
 
Attachments

  • FB_IMG_16903715704551378.jpg
    FB_IMG_16903715704551378.jpg
    29.9 KB · Views: 3
Tatizo ambalo naliona bado lipo Hadi mwaka 2023 maana nilidhani lingeisha 2022 baada ya kujifunza Kwa matukio ya Manzoki na Bigirimana ni kitendo cha timu kusajili ili ipate VIBE la mashabiki badala ya kusajili Kwa mahitaji. Timu za wenzetu zinashow interest Kwa mchezaji hata kama kuna timu nyingine nayo imetangaza nia. Lakini kwetu eti timu inaweza kutangaza imeiba mchezaji Airport na mashabiki wakashangilia.
Kwa wenzetu Hakuna usajili wa kukomoa Mpinzani, lakini kwetu timu inaweza kusajili mchezaji isiyemuhitaji ilimradi mpinzani wake asimpate (Refer Dominic Salamba na Denis Nkane).
Babatov ilifanyika nn airpot huko mbele. Yote yanayo fanyika hapa tz huko mbele ndio waalimu wetu. Zile hijack zinazotangazwa na fabrizio ni nini..?
 
Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Simba SC

Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika

Azam FC

Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea

Singida Fountain Gate FC

Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu

Utabiri wangu Kimsimamo....

Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC

Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Umekula nn leo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoa nyuzi nying mara simba bingwa, azam bingwa, then Leo yanga bingwa.
Popoma ni kama mtu ume bet match moja, mikeka mitatu.
1. Win
2. Draw
3. Lose
Hapa lzm upate mmoja. Huna chochote
 
Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Simba SC

Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika

Azam FC

Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea

Singida Fountain Gate FC

Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu

Utabiri wangu Kimsimamo....

Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC

Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
Genta wakati fulani unaongea ukweli mtupu😂😂😂
 
Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Ni kweli Yanga imesajili vizuri, lakini nina wasiwasi kwamba kutokana na kubadilisha benchi lote la ufundi inaweza ikawapa shida kwenye kurudia mafanikio ya msimu wa pili wa Nabi...
 
Back
Top Bottom