Haya ndiyo mapenzi

Haya ndiyo mapenzi

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
Je wewe unamdekeza hivyo mwenzi wako, au unaishia kumpiga miti tu?
 
Attachments

  • Mapenzi.jpg
    Mapenzi.jpg
    14.6 KB · Views: 125
unapenda huku unaumia, kupenda gani huko.
huo ni uthibitisho tosha hata huyo unaempenda hakupendi angekupendai asingependa upate taabu kiasi hicho
 
"To love" and "To be loved" Source: Teamo
 
kwahiyo kapicha kamoja kanadefine mapenzi... LOL

Hata Iddi amin alikua na romantic photos dude

love is beyond a magic moment and a magnetic photo
 
dah!!! Natamani unifafanulie huo msemo wako wa mwisho!!
 
Mapenzi ni Utumwa!

Mapenzi ni upofu!

Mapenzi ni sumu mbaya ambayo ikikuingia vzr huwezi kujitambua.
 
Dah! jamaa ni mbunifu si haba. Nimeipenda, kusema cha ukweli.
 
Maènzi ya kweli ni kupenda + kupendwa = Kupendana! Ikiwa wewe unaji"scrifice" kwa umpendae na yeye yuko hivyo hvyo, unaweza kupata nguvu ya kufanya lolote, lakini kufanya wewe tu....pengine ndio huo upofu.
 
Nampenda kweli kama kundekeza lazima nimbebe anisamehe kwakweli,kisa chakunivunja mgongo? huyo bwana hapo kwenye pic alivyo jiweka akimpandia mwanamke aloshiba keshamvuja mgogo itakua mambo mapya yakupelekana India pesa zenyewe ndio hivyo tena za mgogoro....
 
dah!!! Natamani unifafanulie huo msemo wako wa mwisho!!
usitie shaka mdogo wangu, ntamtuma MJ1 mdogo wangu wa ukweli akupe shule hapo, coz love haina snapshot!!! it is a process that must stand the taste of time
 
Nampenda kweli kama kundekeza lazima nimbebe anisamehe kwakweli,kisa chakunivunja mgongo? huyo bwana hapo kwenye pic alivyo jiweka akimpandia mwanamke aloshiba keshamvuja mgogo itakua mambo mapya yakupelekana India pesa zenyewe ndio hivyo tena za mgogoro....

we mwanamke huwa wanifurahisha sana comments zako aahaaa aahaaaaa
 
Nampenda kweli kama kundekeza lazima nimbebe anisamehe kwakweli,kisa chakunivunja mgongo? huyo bwana hapo kwenye pic alivyo jiweka akimpandia mwanamke aloshiba keshamvuja mgogo itakua mambo mapya yakupelekana India pesa zenyewe ndio hivyo tena za mgogoro....

hahahahahahahahahha...................
umenifurahisha leo mpaka bs.
 
unapenda huku unaumia, kupenda gani huko.
huo ni uthibitisho tosha hata huyo unaempenda hakupendi angekupendai asingependa upate taabu kiasi hicho
Kupenda kunahitaji kujitoa kwa mwenzio, siyo ukae ukilalamika kila wakati.
 
Back
Top Bottom