Ninavyoelewa maridhiano ni kuhusiana na:Ikiwa HOJA hizi za wananchi zitapuuzwa, thead hii itunzwe Hadi pale chama kipya kitapoongoza Serikali kishike hatamu.
Uuuuwiii! Wewe noma kwelikweli. Maridhiano na tunu mnazokubaliana mathalani kusalimia shikamoo, kuacha matusi, kuacha uongo, kuheshimu Muungano, na kedhalika. Kujenga lami Lindi au airport Chato hizo ni sera, ili wasiotaka lami wakunyime kura zao (CHADEMA) na wanaotaka airport (CCM) wakupe zao. Manake ndo CHADEMA wakaambulia 87%/13% kama 2020.11. Mkataba wetu wananchi na Serikali yaani Katiba:
A: Asiwepo kiongozi wa Sirikali, Wabunge au Taasisi itakayochezea Katiba yetu Kwa kuongeza au kupunguza chochote bila ridhaa au kura ya maoni kwa wananchi wote.
Maridhiano ni muhimu kuondoa sintofahamu.
KATIBA ya nchi Si kijitabu tu,
B: Ndani ya kitabu kiitwacho KATIBA, Kuna wananchi zaidi ya mil 60.
Ndani ya KATIBA Kuna Pande kubwa la ardhi ya Watanzania , Rais wa Nchi amepewa kuilinda ardhi na kuisimamia,
Ni MARUFUKU kuuza ardhi Kwa wageni, KATIBA imekataza.
C: Pia ndani ya Katiba Kuna majeshi yote ya ulinzi na USALAMA, hivyo kitabu hiki Si Cha kawaida.
Ndani ya Katiba zimo fursa zote za kiuchumi,kijamii na kisiasa ambazo wananchi wanatakiwa wapewe Kwa usawa na HAKI.
Najaribu kukuelewa,Uuuuwiii! Wewe noma kwelikweli. Maridhiano na tunu mnazokubaliana mathalani kusalimia shikamoo, kuacha matusi, kuacha uongo, kuheshimu Muungano, na kedhalika. Kujenga lami Lindi au airport Chato hizo ni sera, ili wasiotaka lami wakunyime kura zao (CHADEMA) na wanaotaka airport (CCM) wakupe zao. Manake ndo CHADEMA wakaambulia 87%/13% kama 2020.
Nimejaribu kuongea lugha ya wananchi vijijini,Ninavyoelewa maridhiano ni kuhusiana na:
1. wananchi wanahitaji Katiba ya namna gani ili waweze kujitawala Kwa denikrasia sahihi.....inayoweza kusema Mbunge asiwe Waziri, Mbunge angalau awe na kisomo say kuanzia diploma etc
2. Utaratibu wa uchaguzi ukoje.....tume huru ya uchaguzi, MaDED ambao mara nyingi ni makada na chama tawala wasiwe sehemu ya tume huru.
3. Mahakama huru
4. Uchaguzi Mkuu uhojiwe mahakamani incase kama mgombea wa kitu cha urais akicheza rafu za kisiasa
5. Katiba inayosema hakutakuwa na nafasi ya naDC na Makatibu Tarafa badala yake kunakuwa na RC ambaye chini yake kuna DEDs, Watendaji Kata, Watendaji na Mtaa/kijiji
5. Wananchi wawe na uwezo wa kumwajibisha Mbunge na diwani kama hawatekelezi wajibu wao kwa sababu ya uzembe badala ya utaratibu wa sasa ambapo chama ndo chenye madaraka hayo.
5. Katiba iruhusu mgombea huru kuanzia ngazi Rai's, Mbunge na Diwani. Isiwe lazima kupitia chama cha siasa.
Mengine yote; mambo ya umeme, maji, rushwa iwe ni sera ya chama husika. Chama kitakachoshindwa kutekeleza hayo wananchi wawe na nguvu ya kukipiga chini.
Kwa UFUPI ni kwamba tunahitaji KATIBA MPYA ILIYO BORA kwa maaana;Ninavyoelewa maridhiano ni kuhusiana na:
1. wananchi wanahitaji Katiba ya namna gani ili waweze kujitawala Kwa denikrasia sahihi.....inayoweza kusema Mbunge asiwe Waziri, Mbunge angalau awe na kisomo say kuanzia diploma etc
2. Utaratibu wa uchaguzi ukoje.....tume huru ya uchaguzi, MaDED ambao mara nyingi ni makada na chama tawala wasiwe sehemu ya tume huru.
3. Mahakama huru
4. Uchaguzi Mkuu uhojiwe mahakamani incase kama mgombea wa kitu cha urais akicheza rafu za kisiasa
5. Katiba inayosema hakutakuwa na nafasi ya naDC na Makatibu Tarafa badala yake kunakuwa na RC ambaye chini yake kuna DEDs, Watendaji Kata, Watendaji na Mtaa/kijiji
5. Wananchi wawe na uwezo wa kumwajibisha Mbunge na diwani kama hawatekelezi wajibu wao kwa sababu ya uzembe badala ya utaratibu wa sasa ambapo chama ndo chenye madaraka hayo.
5. Katiba iruhusu mgombea huru kuanzia ngazi Rai's, Mbunge na Diwani. Isiwe lazima kupitia chama cha siasa.
Mengine yote; mambo ya umeme, maji, rushwa iwe ni sera ya chama husika. Chama kitakachoshindwa kutekeleza hayo wananchi wawe na nguvu ya kukipiga chini.
Thanks, Ubarikiwe.Kwa UFUPI ni kwamba tunahitaji KATIBA MPYA ILIYO BORA kwa maaana;
1.Shirikishi
2.Itakayotoa mgawanyo ulio sawa wa MHIMILI ya DOLA
3.Itakayoheshimu na kulinda UTAWALA wa SHERIA
4.Itakayopunguza madaraka ya Mfalme/Malkia, Rais wetu
5.Itakayorudisha madaraka makubwa kwa wananchi
6.Yenye TUNU za TAIFA
7.Itakayo LINDA kwa NGUVU zote MALI ASILI za Taifa
Haya yote ni magumu san kiutekelezaji kwa CCM!! Na hapa ndipo unajifunza tu hawa watu wana nia gan juu ya Tanzania, majibu nadhan kila mmoja anaelewa when anapogundua hayo hapo juu hawataki na hawawez tekeleza!! Na mamb ya msingi kama haya huez ona machawa akina Lucas mwashamba, choiceVariable, Faizafoxy, covax, CM hawa wote hawez changia positive kweny mamb kama haya wala kutoa solutions!! Wao ni praise and worship!1. RUSHWA iwe historia
Hatufurahishwi kusikia Majina ya viongozi wastaafu yakionekana kujirudia kijirithisha madaraka.
Hatutaki kusikia madawa hospitalini yakigawiwa Kwa upendeleo.
Mbolea Kwa wakulima ya ruzuku itufikie Kwa wakati bila Kutoa RUSHWA. Nk nk nk
2. Tunataka Sanduku la kura lirudi mahala pake
Tumechoka kusikia idadi ya wapiga kura kituoni ni 200 Kwa mfano, lakini katika matokeo zikihesabiwa tunapata idadi jumla ikiongezea na kufikia 250.
Wananchi tunajiuliza, hizo kura 50 Huwa zinaingizwa na maruhani ndani ya ballot box?
Wananchi pia tunataka wagombea tunaowataka ndio Majina Yao yarudishwe, hatutaki kuletewa wagombea wa mfukoni.
3. Umeme, maji na huduma za JAMII za uhakika
Hatutaki blaa blaa, pesa za kulipa bill ya umeme tunazo lakini umeme hamna,
Pesa ya kulipa bill ya maji IPO lakini maji hayatoki bombani!!
Tukilipia vifurushi vya data mitandaoni hatutaki kusikia hamna mtandao, hayatuhusu.
3. Huduma za AFYA
Maridhiano tuyatakayo ni dawa ziwepo za kutosha mahispitalini, Kumwambia mgonjwa kuwa hakuna madawa Hilo halimuhusu.
4. Miundombinu ya barabara
Maridhiano tuyatakayo ni barabara zijengwe za kutosha zitakazohimili msimu mzima.
Hatutaki kusikia mawasiliano ya barabara yakikatika na kutuzuia kufika tupatakapo.
5. Bima za AFYA
Maridhiano kati ya mama Serikali na mama mjamzito yafanyike Ili ijulikane mtoto atakayezaliwa anastahili matibabu ya bima Bure au la!!
Si sawa watoto wa maskini wazuiwe kupata bima wakati viongozi wakitibiwa Bure nje ya nchi Kwa Kodi za sirikali.
6. KILIMO
Maridhiano yafanyike, Kila Kijiji kikopeshwe tractors za KILIMO kupitia Benki ya KILIMO Ili kuepuka KILIMO Cha jembe la mkono.
7. ELIMU
Maridhiano yafanyike kuhakikisha chakula Bure mashuleni kinarudishwa kama enzi za Mwl Nyerere.
Walimu wapewe overtime wanaposahihisha mitihani au kutunga mitihani nje ya muda wa KAZI.
8. Madini
Maridhiano yafanyike wananchi tupate 50/50 katika mgao wa madini yetu.
Wazawa wakopeshwe na wasaidiwe zana za kisasa za kuchimba madini bila kuharibu mazingira.
9. UTUMISHI wa Umma
Maadili ya viongozi yarudi mahala pake, watumishi wa umma waache kufanya biashara ndani ya Serikali. Hili linahitaji maridhiano.
Ndugu Mwananchi unakaribishwa kuongeza eneo ambalo ungependa maridhiano yafanyike kati yetu na sirikali Ili Nchi ipumue.
Angalizo: Wananchi hatufurahishwi na TABIA ya viongozi Wachache wa Vyama vya siasa kujifungia sirini kujadili issues tusozijua Wala kushirikishwa, maridhiano yanatakiwa yawe ya WAZI peupe, sababu hii ni Nchi yetu sote, Nchi hii si ya CCM, CHADEMA na ACT pekee.
ASALI ni tamu, hivyo ni muhimu wote turambe Kwa haki, Si Wachache Kwa RUSHWA.
Karibu🙏. Amen
Itaendelea......!!
Ndugu Pac the Don, ni usiku saana, Giza ni Totoro na wingu zito limeifunika Nchi.Haya yote ni magumu san kiutekelezaji kwa CCM!! Na hapa ndipo unajifunza tu hawa watu wana nia gan juu ya Tanzania, majibu nadhan kila mmoja anaelewa when anapogundua hayo hapo juu hawataki na hawawez tekeleza!! Na mamb ya msingi kama haya huez ona machawa akina Lucas mwashamba, choiceVariable, Faizafoxy, covax, CM hawa wote hawez changia positive kweny mamb kama haya wala kutoa solutions!! Wao ni praise and worship!
Nakubaliana naww, but siamin mtawala au Rais ndie ataweza fumua mfumo uliopo!! But hii inahitaji full revolution toka ndan ya CCM.Ndugu Pac the Don, ni usiku saana, Giza ni Totoro na wingu zito limeifunika Nchi.
Kinachotupa waonaji matumaini ni Nuru njema sana itakayon'gaa patakapokucha, maana tangu kuumbwa Kwa Dunia, jua halijawahi goma chomoza na kuliachia Giza kutawala milele.
Ni Kweli ujumbe unaweza onekana hautekelezeki Kwa waliopo,
Lakini amini nakwambia, Nyuzi za aina hii zitafukuliwa Ili zifanyiwe KAZI atakapoinuka Mtawala sahihi.
Amen
Baada ya Katiba mpya, baada ya chama kipya kuingia, ushauri huu utatumika.Nakubaliana naww, but siamin mtawala au Rais ndie ataweza fumua mfumo uliopo!! But hii inahitaji full revolution toka ndan ya CCM.
Maridhainao ni chaka la wanasiasa kukaa mezani na wanasiasa hakujawahi kuwa na shida hiyo hata kidogo si unaona mbowe siku hizi abweki tena kama zaman licha ya kuwekwa ndani na saa100 mwenyeweNapoongelea maridhiano kati ya Wananchi na Serikali naomba nieleweke kuwa, simaanishi aina Ile ya maridhiano kati ya CCM na ACT kule visiwani,
Maridhiano nayoongelea Si yake ya Mh Mbowe na kinana na team yake ambayo yaliendelea zaidi ya mwaka huku tukiendelea kukandamizwa na TOZO na Mfumuko wa bidhaa tukipewa sababu hafifu,
Maridhiano nibayoongelea yalenge yafuatayo;
1. RUSHWA iwe historia
Hatufurahishwi kusikia Majina ya viongozi wastaafu yakionekana kujirudia kijirithisha madaraka.
Hatutaki kusikia madawa hospitalini yakigawiwa Kwa upendeleo.
Mbolea Kwa wakulima ya ruzuku itufikie Kwa wakati bila Kutoa RUSHWA. Nk nk nk
2. Tunataka Sanduku la kura lirudi mahala pake
Tumechoka kusikia idadi ya wapiga kura kituoni ni 200 Kwa mfano, lakini katika matokeo zikihesabiwa tunapata idadi jumla ikiongezea na kufikia 250.
Wananchi tunajiuliza, hizo kura 50 Huwa zinaingizwa na maruhani ndani ya ballot box?
Wananchi pia tunataka wagombea tunaowataka ndio Majina Yao yarudishwe, hatutaki kuletewa wagombea wa mfukoni.
3. Umeme, maji na huduma za JAMII za uhakika
Hatutaki blaa blaa, pesa za kulipa bill ya umeme tunazo lakini umeme hamna,
Pesa ya kulipa bill ya maji IPO lakini maji hayatoki bombani!!
Tukilipia vifurushi vya data mitandaoni hatutaki kusikia hamna mtandao, hayatuhusu.
3. Huduma za AFYA
Maridhiano tuyatakayo ni dawa ziwepo za kutosha mahispitalini, Kumwambia mgonjwa kuwa hakuna madawa Hilo halimuhusu.
4. Miundombinu ya barabara
Maridhiano tuyatakayo ni barabara zijengwe za kutosha zitakazohimili msimu mzima.
Hatutaki kusikia mawasiliano ya barabara yakikatika na kutuzuia kufika tupatakapo.
5. Bima za AFYA
Maridhiano kati ya mama Serikali na mama mjamzito yafanyike Ili ijulikane mtoto atakayezaliwa anastahili matibabu ya bima Bure au la!!
Si sawa watoto wa maskini wazuiwe kupata bima wakati viongozi wakitibiwa Bure nje ya nchi Kwa Kodi za sirikali.
6. KILIMO
Maridhiano yafanyike, Kila Kijiji kikopeshwe tractors za KILIMO kupitia Benki ya KILIMO Ili kuepuka KILIMO Cha jembe la mkono.
7. ELIMU
Maridhiano yafanyike kuhakikisha chakula Bure mashuleni kinarudishwa kama enzi za Mwl Nyerere.
Walimu wapewe overtime wanaposahihisha mitihani au kutunga mitihani nje ya muda wa KAZI.
8. Madini
Maridhiano yafanyike wananchi tupate 50/50 katika mgao wa madini yetu.
Wazawa wakopeshwe na wasaidiwe zana za kisasa za kuchimba madini bila kuharibu mazingira.
9. UTUMISHI wa Umma
Maadili ya viongozi yarudi mahala pake, watumishi wa umma waache kufanya biashara ndani ya Serikali. Hili linahitaji maridhiano.
Ndugu Mwananchi unakaribishwa kuongeza eneo ambalo ungependa maridhiano yafanyike kati yetu na sirikali Ili Nchi ipumue.
Angalizo: Wananchi hatufurahishwi na TABIA ya viongozi Wachache wa Vyama vya siasa kujifungia sirini kujadili issues tusozijua Wala kushirikishwa, maridhiano yanatakiwa yawe ya WAZI peupe, sababu hii ni Nchi yetu sote, Nchi hii si ya CCM, CHADEMA na ACT pekee.
ASALI ni tamu, hivyo ni muhimu wote turambe Kwa haki, Si Wachache Kwa RUSHWA.
Karibu[emoji120]. Amen
Itaendelea......!!
Wanasiasa wanapigania maslah Yao wenyewe.Maridhainao ni chaka la wanasiasa kukaa mezani na wanasiasa hakujawahi kuwa na shida hiyo hata kidogo si unaona mbowe siku hizi abweki tena kama zaman licha ya kuwekwa ndani na saa100 mwenyewe