Maridhainao ni chaka la wanasiasa kukaa mezani na wanasiasa hakujawahi kuwa na shida hiyo hata kidogo si unaona mbowe siku hizi abweki tena kama zaman licha ya kuwekwa ndani na saa100 mwenyewe
..tatizo tunawaandama wanasiasa wanaonunuliwa badala ya wanasiasa wanaonunua wenzao.
..wanasiasa wanaonunua wenzao hawafanyi hivyo kwa kutumia fedha binafsi, wanatumia fedha za umma ambazo ni kodi zetu wananchi.