Maridhainao ni chaka la wanasiasa kukaa mezani na wanasiasa hakujawahi kuwa na shida hiyo hata kidogo si unaona mbowe siku hizi abweki tena kama zaman licha ya kuwekwa ndani na saa100 mwenyewe
Wanasiasa wanapigania maslah Yao wenyewe.
Wakulima na makundi mengine tuinuke kupambania maslah yetu kama wafabiashara wa kariakoo walivofanya.
Kuelekea kuandika Katiba mpya,..itabidi uunde chama cha wakulima na hakitakuwa na tofauti na chama cha siasa.
Sasa tayari ndo washakua na biashara, tuliachia hii, wengine wana makampuni kabisa ambayo yanashinda tenda kwenye ofisi wanazoziendesha! Mbaya zaidi hizo biashara zenyewe hazjasajiliwa kwa majina yao13: Tukae chini tukubaliane kuwa ni MWIKO watumishi wa Serikali wa Umma Hasa viongozi wa level ya juu kufanya biashara.
Jambo hili linasababisha watumishi hao kuinflate Bei za bidhaa au huduma kuliko kawaida sababu ya connection na kulindana.
Mzigo wanaomsababishia MKULIMA na mfanyakazi ni mkubwa.
Kufanya Biashara Si DHAMBI,Sasa tayari ndo washakua na biashara, tuliachia hii, wengine wana makampuni kabisa ambayo yanashinda tenda kwenye ofisi wanazoziendesha! Mbaya zaidi hizo biashara zenyewe hazjasajiliwa kwa majina yao