Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

Kura za desimali hata mie sikubali. huo ni urongo tu.

Kura za desimali zinapatikanika kwa wagombea: Kikwete, Lipumba na Dr Slaa. Hakuna hata kura moja ya desimali kwa wagombea Rungwe, Peter na Mugahywa.

Matokeo ya ajabu haya au yawezekana JF imeingiliwa kama kawaida tokea shughuli za uchaguzi zimeanza.
 
Tukipata file la original results itakuwa njema otherwise uwiano huo mbona haureflect wabunge

Wabunge siyo mahali pa mizania kwa sababu hata huko kuna uchafu mwingi Chadema wamefanyiwa...........................
 
Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.

Uliwahi kusikia wapi mtu robo au nusu? Pesa inagawanyika. Mfano shilingi moja ni senti 100! Mtu hagawanyiki. Nenda mjifunze upya namna ya kudanganya! Angalia vizuri matokeo ya NEC hayana decimal points
 
Decimal places inapatikana tu, pale mahesabu yanapopelekwa kwenye wastani (Average) au asilimia (percentage) tu basi!
 
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

UPDATE:

Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC yameambatanishwa sasa.

Kura za zanzibar ziko wapi???????????????????
 
Hizi data zimekuwa posted na usalama wa taifa na ni za kijinga. Column C imeassume number of voters kutoka mikoa yote ni 65% of registered voters! Inawezekanaje kila mkoa turnout ni 65%? Kama umedownload hizi data click kwenye column C utaona kitu kama B_*65% (Hii ni formula ya kulazimisha data kwenye hii column ziwe turn out ya 65%, which is not true). Mimi nasubiri zitakazotolewa na CHADEMA. Hizi ni za usalama wa taifa ku-pre-empty data za CHADEMA
Asante sana mkuu nimekusoma, inawezekana wakatuma hata data za uongo ili Dr azitumie baadae waseme muongo anapaswa kuwa makini sanaa
 
Wana JF;

Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

UPDATE:

Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC yameambatanishwa sasa.

WALISHEREHEKEA MATOKEA YAO KAMA HIVI
MASHUGHULI: NIA NJEMA NI TABIBU, NIA MBAYA UHARIBU NA MWISHO WA UBAYA NI AIBU - HONGERA RAISI WETU
 
Hapa walichokifanya wamechukua wapiga kura wakazidisha na asilimia ambayo nahisi ndio wanaaasume kuwa walishinda ndio sababu za decimal places.

Kamanda Butola;

Jedwali linaonyesha Iringa waliopiga kura ni 598,685.10.

Limeangalia zaidi inaonyesha kuwa namba hii ni 65% ya registered voters ambao ni 921,054.00 kwa mkoa wa Iringa.

Sina uhakika walitumia kigezo gani kilitumika.

Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.

Wakuu, hii kwa namna ilivyoletwa hapa sio estimation, ni matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, ambayo idadi ya kura anazopata mgombea ndizo inazoleta % atakayoipata na sio % zilete idadi ya kura.

Lakini ninachokiona hapa ni "estimations" za mtu alizozifanya kwa mawazo yake kwa kukadilia turm-out ya 65% kwenye mikoa yote na % atakazopata kila mgombea, haya sio matokeo halisi ya uchaguzi, na bahati mbaya estimation zake hazihakisi hali halisi.

Katika Mkoa wa Iringa waliopiga kura ni watu 390,089 tu, na Kikwete alishinda kwenye majimbo yote ya uchaguzi likiwepo jimbo la Iringa Mjini ambako mbunge wa Chadema alishinda, huu ni ukweli tunaopaswa kuukubali na kuufanyia kazi kuelekea 2015, kama tunataka kujifariji ili kuepuka jukumu la kuufanyia kazi idhaifu uliopo ni hasara yetu wenyewe.
 
Kura za desimali zinapatikanika kwa wagombea: Kikwete, Lipumba na Dr Slaa. Hakuna hata kura moja ya desimali kwa wagombea Rungwe, Peter na Mugahywa.

Matokeo ya ajabu haya au yawezekana JF imeingiliwa kama kawaida tokea shughuli za uchaguzi zimeanza.

Uliwahi kusikia wapi mtu robo au nusu? Pesa inagawanyika. Mfano shilingi moja ni senti 100! Mtu hagawanyiki. Nenda mjifunze upya namna ya kudanganya! Angalia vizuri matokeo ya NEC hayana decimal points

Decimal places inapatikana tu, pale mahesabu yanapopelekwa kwenye wastani (Average) au asilimia (percentage) tu basi!
Chomachoma
The Dreamer
X-PASTER

Jamani nashukuru nilitaka kuingia kichwa kichwa wamecheza na columns za Kikwete, Slaa na Lipumba ndiyo maana zina decimal places column za wagombea wengine hazina decimal places shukrani kwa kunifumbua.
 
Superman

Kushindwa mmeshindwa, uchakachuaji ni sababu ya kushindwa kwani hamuwezi kamwe, asilani kudeclare kuwa mlizidiwa; hamkuwa mmejipanga vizuri. Punguza propaganda.
 
Just curios, Dar Es Salaam una watu Millioni 4, ina maana wenye uwezo wa kupiga kura ni 25%? Maana kwa mujibu wa NEC, ni roughly watu Laki nane walipiga kura!
 
Kama ndo hivyo je, CHADEMA kwa hali halisi bila kuchakachua walikuwa wamepata wabunge wangapi?
 
Just curios, Dar Es Salaam una watu Millioni 4, ina maana wenye uwezo wa kupiga kura ni 25%? Maana kwa mujibu wa NEC, ni roughly watu Laki nane walipiga kura!

Zilipokuwa zinatokea nyomi kwenye mikutano ya kampeni, watu wakaconclude ushindi. Wakaulizwa mmejiandikisha? kama ndio mtajitokeza kupiga kura? Zaidi ya 60% ya wanaJF walimpigia kura Dr Slaa.

Kwa hayo hapo juu unaweza kuextrapolate ukapata jibu la swali lako.
 
Haya matokeo feki yalipostiwa kwanza na tzjamani usiku wa kuamkia J'mosi fuatilia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85737-tathmini-ya-kina-uchaguzi-2010-kama-kweli.html nafikiri akaona thread yake haina market akampasia Superman kwa sababu zao labda kwa vile Superman amekuwa akipost mara kwa mara itapata wateja wengi sijui. Nilishawahi kusema awali kuwa huwa nina wasi wasi na watu wawili Superman na Pasco naweza kuhukumiwa kwa doubts zangu.

Quinine correction:

- Link uliyotoa thread yake imeanzishwa leo saa 02:41 AM na si Jumamosi kama ulivyoandika.
- Sikuwahi kufahamu kama thread hiyo ipo wakati naanzisha hii
- Alioaianzisha thread hiyo hakunipasia mimi kwa sababu yoyote
- Wasiwasi wako kwa Superman ni upi? Sijawahi kusoma mahali ulipoelezea wasiwasi huo.
 
Correction ni usiku wa kuamkia Jumapili.
Lakini whatever the case usituletee data feki ulizotumwa na uwt period, ushaona wapi robo mtu waambie Hatudanganyiki.
 
Mkuu Superman,

Hayo matokeo yenu hayaendani na ukweli wa mambo. Labda uniambie matokeo yote kuanzia udiwani mpaka urais yalichakachuliwa. Vinginevyo chama kilichopata viti 22 kati ya 232 hakiwezi kushinda urais au kuwa na matokeo karibu kiasi hicho.

Chama ambacho kimepata chini ya 20% ya madiwani nchi nzima hakiwezi kushinda urais.

Ndio huenda baadhi ya matokeo yanaweza kuwa yamechakachuliwa lakini sio kwa kiasi hicho cha JK kufanana na Slaa. Ingelikuwa hivyo hata tofauti ya wabunge ingelikuwa ndogo sana na hivyo hivyo kwa madiwani.

Lakini kwasababu watu sasa tuko kwenye uzushi zaidi ya facts tutaamini haya matokeo kama tulivyoamini ile barua ya kikao cha vigogo Mwanza.

Hata kama target ilikuwa kwenye mikoa michache basi hiyo mikoa CHADEMA ingepata wabunge na madiwani wengi.
 
Mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo, baado habari hii itabakia kama tetesi.
 
Mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo, baado habari hii itabakia kama tetesi.

Mkuu Superman,

Hii habari sio tetesi bali ni uzushi. Nashangaa watu mnalalamikia kuchakachuliwa kura na bado barua na matokeo ya kuchakachuliwa yanatumwa kila siku ili yatumike kama propaganda.

Matokeo ya NEC yapo na kila mtu ameyaona, leteni matokeo hayo ya vituoni ili tuone kama CCM wamechakachua.
 
Back
Top Bottom