Kura za desimali hata mie sikubali. huo ni urongo tu.
Tukipata file la original results itakuwa njema otherwise uwiano huo mbona haureflect wabunge
Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.
Decimal places inapatikana tu, pale mahesabu yanapopelekwa kwenye wastani (Average) au asilimia (percentage) tu basi!Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.
Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.
Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.
Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.
Naomba kutoa hoja.
UPDATE:
Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC yameambatanishwa sasa.
Asante sana mkuu nimekusoma, inawezekana wakatuma hata data za uongo ili Dr azitumie baadae waseme muongo anapaswa kuwa makini sanaaHizi data zimekuwa posted na usalama wa taifa na ni za kijinga. Column C imeassume number of voters kutoka mikoa yote ni 65% of registered voters! Inawezekanaje kila mkoa turnout ni 65%? Kama umedownload hizi data click kwenye column C utaona kitu kama B_*65% (Hii ni formula ya kulazimisha data kwenye hii column ziwe turn out ya 65%, which is not true). Mimi nasubiri zitakazotolewa na CHADEMA. Hizi ni za usalama wa taifa ku-pre-empty data za CHADEMA
Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.
Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.
Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.
Naomba kutoa hoja.
UPDATE:
Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC yameambatanishwa sasa.
Hapa walichokifanya wamechukua wapiga kura wakazidisha na asilimia ambayo nahisi ndio wanaaasume kuwa walishinda ndio sababu za decimal places.
Kamanda Butola;
Jedwali linaonyesha Iringa waliopiga kura ni 598,685.10.
Limeangalia zaidi inaonyesha kuwa namba hii ni 65% ya registered voters ambao ni 921,054.00 kwa mkoa wa Iringa.
Sina uhakika walitumia kigezo gani kilitumika.
Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.
Kura za desimali zinapatikanika kwa wagombea: Kikwete, Lipumba na Dr Slaa. Hakuna hata kura moja ya desimali kwa wagombea Rungwe, Peter na Mugahywa.
Matokeo ya ajabu haya au yawezekana JF imeingiliwa kama kawaida tokea shughuli za uchaguzi zimeanza.
Uliwahi kusikia wapi mtu robo au nusu? Pesa inagawanyika. Mfano shilingi moja ni senti 100! Mtu hagawanyiki. Nenda mjifunze upya namna ya kudanganya! Angalia vizuri matokeo ya NEC hayana decimal points
ChomachomaDecimal places inapatikana tu, pale mahesabu yanapopelekwa kwenye wastani (Average) au asilimia (percentage) tu basi!
Just curios, Dar Es Salaam una watu Millioni 4, ina maana wenye uwezo wa kupiga kura ni 25%? Maana kwa mujibu wa NEC, ni roughly watu Laki nane walipiga kura!
Haya matokeo feki yalipostiwa kwanza na tzjamani usiku wa kuamkia J'mosi fuatilia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85737-tathmini-ya-kina-uchaguzi-2010-kama-kweli.html nafikiri akaona thread yake haina market akampasia Superman kwa sababu zao labda kwa vile Superman amekuwa akipost mara kwa mara itapata wateja wengi sijui. Nilishawahi kusema awali kuwa huwa nina wasi wasi na watu wawili Superman na Pasco naweza kuhukumiwa kwa doubts zangu.
Correction ni usiku wa kuamkia Jumapili.Quinine correction:
- Link uliyotoa thread yake imeanzishwa leo saa 02:41 AM na si Jumamosi kama ulivyoandika.
- Sikuwahi kufahamu kama thread hiyo ipo wakati naanzisha hii
- Alioaianzisha thread hiyo hakunipasia mimi kwa sababu yoyote
- Wasiwasi wako kwa Superman ni upi? Sijawahi kusoma mahali ulipoelezea wasiwasi huo.
Mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo, baado habari hii itabakia kama tetesi.