MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Habari nilizozipata ni kwamba DR SILAA alishinda kwa 58% kabla zoezi la kuchakachua halijaanza.
Naona kama ziko kinyume na za mleta hoja na hakuna kura za Zanzibar....Yote yote ni kwamba jamaa wametuchakachua sana tu.....
Du kaka File uliloweka la kura halisi linaonekana ni File lililotumika kwa ajili ya estimates. Kwa Mfano Limezingatia idadi ya wataopiga kura kuwa ni 65% ya wale waliojiandikisha na ndo maana kuan wapiga kura ktk decima places kitu ambacho si sahihi ktk reality,we don't have decimal voters! kingine Ukichkua ushindi wa either kikwete ama Slaa kwa kila mkoa ulikuwa katika Pecentage ambazo hazina decima places e.g 40% 33% e.t.c.Hii ni ishara kubwa ya matokeo haya yalikuwa estimated.Sikatai uchakachuaji wa kula ulifanyika lakini kwa file hili labda lilitumika kabla ya uchaguzi kwa ajili ya planning na matarajio.We need the actual votes kama zilivyochukuliwa vituoni. Hutaona decimal wala percentage kamili kamili.Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.
Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.
Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.
Naomba kutoa hoja.
UPDATE 1:
Je haya ndiyo Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC ??
UPDATE 2:
Waungwana, nimeongea tena na chanzo changu ambacho ndicho kilichonipatia taarifa hii. Matokeo yaliyoambatanishwa nimejulishwa ni yale ya utafiti wa ndani ambao ulifanywa kabla ya uchaguzi. Actual results nimeambiwa zikitolewa sasa hivi inaweza kusababisha kutoelewana.
Tuvute subira mpaka hapo taarifa ya uhakika itakapotolewa kutoka kwa wahusika.
SM
Wana-CCM wengi waliwapigia kura wabunge wa chama chao lakini kwenye kura za urais walimpa Dr. Slaa.
CHADEMA were very strategic wameenda kwenye maeneo ambayo yana population
yote hakuna wajanja au nimekosea?????????mikoa ambayo kikwete ameshinda ni:
Dodoma
kigoma
lindi
morogoro
mtwara
pwani
rukwa
ruvuma
singida
tabora
tanga
Habari nilizozipata ni kwamba DR SILAA alishinda kwa 58% kabla zoezi la kuchakachua halijaanza.
Mad you!Amini usiamini matokeo ni haya
Amini usiamini matokeo ni haya