haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
History D
Civics D
Kiswahili D
maths D
geog C
chemistry C
Biolog C
PHY D
ENG C
 
huyo mbona kakaza wengine utawaonea huruma, jamani sijui kundi hili litakwenda wapi baada ya hapa, binafsi nimeombwa kuangalia matokeo ya watoto 5 kati ya hao aliyefaulu ni aliyepata Div. IV 27 wengine ni 35!
 
Mkuu mbona website ya necta siyaoni !! tupia link basi
 
Pale kuna link tatu so fanya juhudi tumia ya tatu
 
hilo kundi karibia 24,000 ya waliofeli jamani wataenda wapi? mbona hili ni janga kabisa inatia huruma sana sana
 
dada white, ulikuwa na muwasho? wapi? Samahani nauliza tu.

Haya ndo madhara ya wazaramo kupata access jamii forum. Unakuwa complicator hata kwenye simpo statement anyway najibu hoja ila sijakasirika.
 
Last edited by a moderator:
hili ni janga lingine kwa taifa letu maskini....sijui Dk. fastjt anajiskiaje..
 
Back
Top Bottom