haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

kuna shule inaitwa tubuyu secondary morogoro. div one =0, div two=0, div three=0,div four=12, div zero=89....Inasikitisha sana.
 
halafu matokeo ya mwaka huu sijui kwa nini hawajayatoa majina, mi kuna ndugu yangu kasema kasahau no yake sijui huyo atasaidiwa vipi?
 
bora huyo ndugu kuna ndugu yangu ameomba nimwangalizie ya mwanawe hadi sasa nimeshiindwa kumpa matokeo vile naona huruma jinsi mtoto kazungusha gurudumu
 
mmh,mkuu mbona huyo mpwa wako kafaulu,au unaleta utani hapa jukwaani,kwani CBG imebalance ,kiujumla mambo cyo mabaya kwakwe,kwani watu kibao walo na pt35 i mean zero.hadi huruma
 
mpe sana hongera kwan form four kawaid yao kuscor matokeo km hayo koz weng wao hawajajtambua!HUYO MPWA WAKO AMEVUNJA XANA ANANKUMBUSHA XAN MWAK WANG
 
Back
Top Bottom