mtakumbuka kuwa mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwaka jana aliisifia serikali kupita kiasi kuwa inachapa kazi kwa kile kilichoitwa kustandardize matokeo. Leo hii ona matokeo ya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana (2013) katika shule ya kata atokayo yeye. Ikumbukwe kuna watoto wa kaka zake, wajomba zake jirani zake, ndugu jamaa na marafiki zake na wapiga kura wa kata yake ambao wana watoto pale. Ila inasemekana serikali naye anaisimamia serikali vizuri kwa kufaulisha kwa kiasi hiki. Hongera nchemba pole kwa wapiga kura