Namshauri aende akamwone Mheshimiwa Sugu,Mbunge wa Mbeya mjini ambaye shule ya St Francis toka jimbo lake la Mbeya Mjini imekuwa ikishika nafasi ya kwanza kitaifa tokea Sugu aingie madarakani.Na Mbeya jiji imekuwa ikiongoza katika matokeo ya Majiji Tanzania.Pamoja na kuishia kidato cha nne,Sugu amekuwa akichukia sanasana watu wanaochakachua elimu,ndio maana alimng'ang'ania Mlugo mpaka kaondolewa kwenye baraza la mawaziri.
Namshauri asione aibu kumwomba ushauri Sugu hata kama yeye mwenyewe Mwigulu nasikia ana vyeti vya kuungaunga.Ni aibu kwa matokea ya mwaka huu shule kukosa Div I,St Francis wanafunzi waliofeli ni waliopata Div II nao wako 7 tu.wengine wote ni Div I,mmoja kapewa penalt lakini ana Div I.Zaidi ya wanafunzi 87 wana Div I,lakini kwa Mwigulu wanaanzia Div III,aibu kubwa sana Mhe Mwigulu,kamwombe ushauri Sugu usione aibu Mheshimiwa!