Wao CCM wametembeza ubabe ili washinde kwa asilimia 100 kwenye chaguzi hizi, wapinzani wenu wamejitoa mnawalazimisha kushirikiCCM mapinduzi yao yamehamia kwenye kutangaza matokeo ya uchaguzi. Sasa safari hii hawana wa kumpindua, hawatoweza kujidai wameshinda kwa kishindo. Aibu yao.
Hoja yake ni ari ya kushangilia au kujisifi sio point 3/ ushindi. Hata kwenye soka ushindi wa mezani huwa haushangiliwi.Mbona hata kwenye soka haya yapo, mechi ikipangwa na timu zikakubaliana uwanja , timu moja ikitokea na nyingine isitokee, point 3 anapewa aliyetokea.
Muwaache wachukue point 3 za mezani, dunia haijasimama next time tutaangalia mchuano.
Politics is a game, kuna rules of the game, usipozifuata unakuwa disqualified, timu pinzani inakula point tatu.
Kwa vile this is a game, usipopeleka timu uwanjani, mwenzako akatoka na ushindi wa mezani.
Uchaguzi ni leo, tuliojiandikisha, kama hakuna poits za mazeni, tujitokeze kwa wingi, twendeni tukapige kura kuwachagua viongozi wetu.
PWananchi watakiwa kujitokeza kwa wingi, uchaguzi kuwa huru na wa haki, demokrasia kushamiri, washindi halali kutangazwa
Wanabodi, Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi, kutakiwa kutenda haki kwa washindi halali kutangazwa. Wito huo, umetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa...www.jamiiforums.com
Hakuna wa kujitokeza mzee na leo ndio kipimo chenu kama ndege, stiegersgorge, standard gauge zinalipa, majibu mtayaona.Politics is a game, kuna rules of the game, usipozifuata unakuwa disqualified, timu pinzani inakula point tatu.
Kwa vile this is a game, usipopeleka timu uwanjani, mwenzako akatoka na ushindi wa mezani.
Uchaguzi ni leo, tuliojiandikisha, kama hakuna poits za mazeni, tujitokeze kwa wingi, twendeni tukapige kura kuwachagua viongozi wetu.
PWananchi watakiwa kujitokeza kwa wingi, uchaguzi kuwa huru na wa haki, demokrasia kushamiri, washindi halali kutangazwa
Wanabodi, Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi, kutakiwa kutenda haki kwa washindi halali kutangazwa. Wito huo, umetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa...www.jamiiforums.com
Politics is a game, kuna rules of the game, usipozifuata unakuwa disqualified, timu pinzani inakula point tatu.
Kwa vile this is a game, usipopeleka timu uwanjani, mwenzako akatoka na ushindi wa mezani.
Uchaguzi ni leo, tuliojiandikisha, kama hakuna poits za mazeni, tujitokeze kwa wingi, twendeni tukapige kura kuwachagua viongozi wetu.
PWananchi watakiwa kujitokeza kwa wingi, uchaguzi kuwa huru na wa haki, demokrasia kushamiri, washindi halali kutangazwa
Wanabodi, Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi, kutakiwa kutenda haki kwa washindi halali kutangazwa. Wito huo, umetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa...www.jamiiforums.com
Mimi huwa ni mlevi. Take notice of comments zangu Ijumaa usiku na Jumamosi usiku.Umekoment km mlevi.
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Kweli Africa kuna laana yaani msomi kama huyu nae anatoa hoja yenye utopolo kama hii kisa mtu anatafuta TEUZI.Politics is a game, kuna rules of the game, usipozifuata unakuwa disqualified, timu pinzani inakula point tatu.