Haya ndiyo matukio yaliyonifanya niidharau michuano ya Kombe la Mapinduzi

Mkuu umesahau pia mechi ya Yanga na Jamus, ziliongezwa dk 9 wakati hakukuwa na upotezaji wa muda wa aina yoyote.
 
tulishaingiza SIASA ktk MPIRA ... Sasa Equation imeBalance, MPIRA nao umeingia ktk SIASA
 
Kwani marefa walipanga mpaka zile penati za Simba FC vs Fountain ama?
 
Cry more,
Shubamittkenge
 
Cry more....
 
Wenzio hua wanazuga wanaweka hata sentensi Moja ya yangu

Wewe umekuja fulu mkoko kuishambulia SSC,unaonesha uko biased wewe ni utopolo
 
Wenzio hua wanazuga wanaweka hata sentensi Moja ya yangu

Wewe umekuja fulu mkoko kuishambulia SSC,unaonesha uko biased wewe ni utopolo
Kwani hayo matukio ni ya uongo??

Mbona Mlandege vs APR nimezungumzia hujaongelea??

Kweli ALIVYOSEMA Rage hajakosea.
 
Kwani hayo matukio ni ya uongo??

Mbona Mlandege vs APR nimezungumzia hujaongelea??

Kweli ALIVYOSEMA Rage hajakosea.
Hio gemu kuna shabiki wa Simba aliilalamikia sana kwamba APR hawajatendewa haki Ila sasa ilipokuja suala la Simba na Singida, kabadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…