I don't care, i live my life and i do what i want to do. Jamani tusipangiane maisha yangu sio yenu picha zinazovuja ni zangu sio zenu sawa...
Maana kuna watu wanaumia sana kuliko mie vepeee!.
Ajitahidi tu kupambana aendelee kusikika, maana sahivi mjini bila kiki maisha ya ustaa hayaendi, akizubaa kina Giggy Money, Mobeto, Amber Lulu watakalia kiti chake
Huyu Wema nae kichwa tupu kabisa ,huwa namshangaa Mbowe kwenye mikutano ya waandishi sifa za uhamasishaji wa michango ya Lisu eti anamuweka Wema mzani mmoja na Mange wakati kiukweli kwenye uhamasishaji huo Mange ana 80% wema hiyo 20% .
Mbowe mwenyekiti wetu tunaomba Mange apewe heshima zake ishu ya kuhamasisha michango ya Lisu asifananishwe na vitu vya kijinga