Haya ndiyo yatakayokuwa majibu ya Wema kuhusu Picha zinazovuja,Team Wema msinimind

Haya ndiyo yatakayokuwa majibu ya Wema kuhusu Picha zinazovuja,Team Wema msinimind

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
I don't care, i live my life and i do what i want to do. Jamani tusipangiane maisha yangu sio yenu picha zinazovuja ni zangu sio zenu sawa...
Maana kuna watu wanaumia sana kuliko mie vepeee!.

 
Mmh team yake wana kazi sana ,mwanzo aliwaita manyani saiv tena anawashushua
 
Basi atakua anakomesha timu pinzani
 
Ajitahidi tu kupambana aendelee kusikika, maana sahivi mjini bila kiki maisha ya ustaa hayaendi, akizubaa kina Giggy Money, Mobeto, Amber Lulu watakalia kiti chake
 
Kashazeeka, mwambieni arudi kijijini akajiuguze.
 
Screenshot_20171025-181827.png


Vi team wema ni vijinga teh
 
Kwa muda mrefu hajaandikwa kwenye mitandao, nitoke veep?
 
Huyu Wema nae kichwa tupu kabisa ,huwa namshangaa Mbowe kwenye mikutano ya waandishi sifa za uhamasishaji wa michango ya Lisu eti anamuweka Wema mzani mmoja na Mange wakati kiukweli kwenye uhamasishaji huo Mange ana 80% wema hiyo 20% .

Mbowe mwenyekiti wetu tunaomba Mange apewe heshima zake ishu ya kuhamasisha michango ya Lisu asifananishwe na vitu vya kijinga
 
nilichopenda kwenye hiyo picha ni mkono kwenye Wowowoo... baasii vngne i don care..🙂🙂
 
Huyu fanyeni mipango mumtie kamba na kumpeleka milembe.
 
Back
Top Bottom