Haya ndiyo yatakayokuwa majibu ya Wema kuhusu Picha zinazovuja,Team Wema msinimind

Huyu mtoto anaelekea ni mtamu sana sio kwa kunganganiwa huko
 
Hakuna kilichovuja... Anazisambaza mwenyewe...
Kama vile ni wageni na huyo mdada...


Cc: mahondaw
Zinavuja kwenye tenga gani
Picha unazowewe unatwambia zimevuja kwamba simu au kamera imetoboka.
Handset yako haiwezi post kitu bila ridhaa yako
 
Kuna age flan ukifikia halafu hauko committed na someone unakua so desperate kufanya lolote ilimradi nawe uonekane upo kwenye r/ship. Kuna celeb flan alitamba sana nyuma huko kwa sasa anaish salasala, nlimzingua kidogo tu kwenye insta hata sijamtongoza kashaanza kuleta ubebibei mara kidogo anataka nikatoe posa kwao wakati ukiangalia she's worn out n so outdated nikaona daah kwel usipoplay vizuri your cards kwa umri fulan utakuja juta. Usione kina klyn wametulia na watu wazima kwenye ndoa zao
 
Ila huyu manzi yupo sex, jinsi alivyomkumbatia huyo mashikaj hatari aisee, ziro distance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…