Kuna age flan ukifikia halafu hauko committed na someone unakua so desperate kufanya lolote ilimradi nawe uonekane upo kwenye r/ship. Kuna celeb flan alitamba sana nyuma huko kwa sasa anaish salasala, nlimzingua kidogo tu kwenye insta hata sijamtongoza kashaanza kuleta ubebibei mara kidogo anataka nikatoe posa kwao wakati ukiangalia she's worn out n so outdated nikaona daah kwel usipoplay vizuri your cards kwa umri fulan utakuja juta. Usione kina klyn wametulia na watu wazima kwenye ndoa zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.