Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlango unacheza number ngapi?Yanga hawajawahi kupita Mlango Rasmi wa kuingilia uwanjani.
Huwa Wana fujo sana.
Dahhh nakumbuka 2017 waliambiwa Gali la yanga la wachezaji liingie mapema Uwanjani, lilipofika geti La kuingilia ghafla lilizima. Wachezaji wakaanza mbio kukimbia kwenda Uwanjani kwa miguu.mala ghafla Gali likawaka.
Yanga wanavituko sana kwakweli.
Utopolo bwana!!!!!!
Na mvua hii yanga hatokiWanachojua tu ni kukamia Mbasi sisi
Level zetu sio wao. sisi tuna pambana na wenzetu wakimataifa
Mbasi ni timu kubwa africa sijui maneno yatakuwa mengi
Kumfunga de () st) - go) sio kwamba wewe ni bora wale ni wachovu zaidi yenu
Mimi nitakuita mbwa wa hajimnara mweupe😳Hii mechi simba hawezi kumfunga Yanga nimekaa pale niiteni Haji manara.
Na hyo mechi kocha uchebe simba walikosa goli 27 clear chances ndo nikaamini yanga wameshindikana kwenye uchawi ndemla anakosa goli la wazi golini hakuna mtuYanga hawajawahi kupita Mlango Rasmi wa kuingilia uwanjani.