Haya ndiyo yatakuwa matokeo ya Yanga na Al Hilal

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Yanga na Al Hilal matokeo yatakuwa hivi;

Yanga vs al-hilal
3-1

Wafungaji
Mayele goli 2

Djuma Shaban
1 penalti

Al Hilal
Mfungaji Lilopo, 1 penalti

Kumbukeni goli la kwanza la Yanga litakuwa la penati na magoli mawili ya Mayele yatakuwa ya kufunga kwa kichwa.

Goli la kwanza litakuwa kwenye dakika ya 20+, la pili 40+ na la tatu 60+.

Na la Lilopo litakuwa la dakika 30+.

Atakayebisha abishe lakini matokeo ni hayo hayo tu. Namaliza, tukutane Jumamosi, wengi watajaa kwenye uzi huu kuthibitisha.
 
Moja kati ya game inayosubiriwa sana nchini, ni kama enzi zile Simba Sc ndo ameanza kuyatafuta makundi.
 
Yanga hawezi mfunga Hilal goli la kichwa. Kinyume chake Hilal watamfunga yanga kwa staili hiyo hasa Sudan
 
Mzee wa utabiri! Tupe na matokeo ya kule Sudan.

Yanga msimu huu tunafika mbali sana!..
 
Siku zote sisi tunajua kanuni yenu ni KUPINDUA MEZA kama ambavyo tulijitanabaisha mismu iliyopita, yani tufungwe nyumbani kisha tukajaribu kupindua meza ugenini, kama ilivyokuwa kwa Rivers.

Hizi habari za kujihakikishia ushindi nyumbani ni kutembelea nyota ya mtani.
 
Hivi ni wewe mwamba ndo ulitabiri matokeo ya mechi ya mwisho ya Simba vs Yanga? kwamba yatakuwa 1 - 2,Simba wataanza kufunga kisha Yanga watasawazisha na kuongeza? na dk ambazo magoli yote 3 yatàfungwa na ikawa vile vile?

Ule uzi nautafuta nifanye rejea,siuoni. Ni wewe mkuu?
 
Mzee wa utabiri! Tupe na matokeo ya kule Sudan.

Yanga msimu huu tunafika mbali sana!..
Yanga badoo kwa mpira ule wanaocheza kufunga hadi wakose mara 10 then mara ya 11 ndo ndio goli bado sana..
 
Mtamanuliwa tu hakuna jinsi nyingine
 

Kuna goli la aziz ki dk 72 ya mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…