Haya ndo mafanikio ya simba 2023/2024

Haya ndo mafanikio ya simba 2023/2024

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu
Mafanikio mengi ni kama yafuatayo
  • kufungua whatsApp channel
  • Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume
  • Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanawake
  • Kuendelea kuwa wabunifu kama kibegi, visit zanzibar n.k
  • Kufungua kwa kishindi mashindano ya supercup
Mengine yapo kwenye attachment
 
Attachments

  • 63FDD9EF-78D9-4508-9043-10751966FBB2.jpeg
    63FDD9EF-78D9-4508-9043-10751966FBB2.jpeg
    118.2 KB · Views: 19
Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu
Mafanikio mengi ni kama yafuatayo
  • kufungua whatsApp channel
  • Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume
  • Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanawake
  • Kuendelea kuwa wabunifu kama kibegi, visit zanzibar n.k
  • Kufungua kwa kishindi mashindano ya supercup
Mengine yapo kwenye attachment
Uyu CEO kajula Hana tofauti na wakina kisugu, anafanya mambo Kama mtoto wa darasa la kwanza
 
CEO kajuna yeye amewakikisha uongozi wa Simba, Baada ya tathmini ya kina ayo aliyo yasoma ameona ndio mafanikio na bahati nzuri yameungwa mkono na wanachama walio udhuria mkutano kwa makofi ya kishindo.

Kwa sisi ambao si Wana Simba hatunabudi kuwapongeza viongozi na wanachama wa Simba kwa kilele Cha mafanikio mliyo fikia.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom