Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Uyu CEO kajula Hana tofauti na wakina kisugu, anafanya mambo Kama mtoto wa darasa la kwanzaKama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu
Mafanikio mengi ni kama yafuatayo
Mengine yapo kwenye attachment
- kufungua whatsApp channel
- Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume
- Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanawake
- Kuendelea kuwa wabunifu kama kibegi, visit zanzibar n.k
- Kufungua kwa kishindi mashindano ya supercup
Shilingi ngapi ulichanga nikurudishie kwa niaba ya Simba?Mimi wanirudishie hela yangu ya mchango wa uwanja tu