Haya ndo maisha ya dada zako kwenye Fb na insta

Haya ndo maisha ya dada zako kwenye Fb na insta

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu[emoji28][emoji28][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Hahaha, kuna ka ukweli ndani yake
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] utamuu
 
WanAingia na mbwembwe wavulana wanawapimia...wanarusha kete, wanamegwa kisha wanawapotezea..kumbe masikini na mimba walishadakishwa..kwa hiyo ndo huo mtiririko wa status unapokuwa unaendana na matukio
 
dah nimecheka sana ila kuna ukweli mchungu. ndani yake.
 
d799c9ff505ea5dd8077d2c206fffa6c.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] my life story
 
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu[emoji28][emoji28][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Ha ha ha umenichekesha wewe
 
Usinikumbushe machungu mwenzenu mpaka leo nyumbani tunalea mtoto ambaye hata baba wa mtoto hajulikani[emoji15]
 
Back
Top Bottom