Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Kama Kiba angekua amefeli angealikwa kwenye fiesta? Hataki kabisa dogo wa Tandale amzoee huo ni uamuzi wakewna uheshimiwe.
Sisi nje tutabwabwaja sana sababu ya ushabiki, kufail au kuwin anajijua mwenyewe ktk accounts zake, bifu walizonazo wanajua wenyewe bora kasema wasizoeane......na wamkomeee
 
Sisi nje tutabwabwaja sana sababu ya ushabiki, kufail au kuwin anajijua mwenyewe ktk accounts zake, bifu walizonazo wanajua wenyewe bora kasema wasizoeane......na wamkomeee
 
Alimfanyaje aise kijana hadi ana chuki kali namna hio
 
Umdharau kwani umeshafaham anayofanyiwa na Mondi? Kiba ni mkimya sana lakini mpaka unaona amaongea ivo ujue kuna mambo Mondi anawafanyia wenzake sio. Huku nje anajifanya mwema kumbe ndani kwa ndani anayoyafanya sio.
Wewe unaeyajua si uyaweke hapa aliyofanyiwa kiba ambayo hata kiba mwenyewe hayajui
 
Sifatiliagi sana mambo ya awa jamaa ila,akili yangu umeishawishi kuelewa kiasi flani
 
Umdharau kwani umeshafaham anayofanyiwa na Mondi? Kiba ni mkimya sana lakini mpaka unaona amaongea ivo ujue kuna mambo Mondi anawafanyia wenzake sio. Huku nje anajifanya mwema kumbe ndani kwa ndani anayoyafanya sio.
Hahaaa!! Yaani Kiba akisema jambo ndo ujue kweli kafanyiwa?! Ukweli ni kwamba, Kiba anapenda sana kulia lia!!

Hivi si ni huyu huyu Kiba aliwahi kusema kwamba Sallam kamkatia waya kwenye shoo yake Mombasa?!

Mfano mwingine, mambo ya dis tracks ni jambo la kawaida kabisa kwenye game... Mond siku anafanya remix ya Fresh kasema "...sio Fresh kunifananisha na Cinderella", jamaa akajaa povu na kukimbilia Twitter kwamba eti anajua kwamba Mond anamchukia!!!!

Na ni Kiba huyu huyu akiona Views Youtube haziendi lazima akamate watu "uchawi"!

Na ni Kiba huyu huyu siku ameulizwa chanzo cha bifu lake na Diamond, akadai Mond alikuwa amefuta verse yake (Kiba) kwa sababu alimfunika! Huyu hapa... usije ukadhani namsingizia!


Na hilo jambo kawahi kuliongea zaidi ya mara moja!! Sasa hivi ni sababu ya msingi hiyo?! Na kama kuna nyingine, mbona haisemi wakati mengine huwa anasema tena kwa kukurupuka kabisa
 
Ila mzee baba umemaliza Kila kitu huyo jamaa atakuwa amemjua kiba miaka hii ya karibuni.
 
Mwenzut umejuaje ya Moyoni mwa mtu???!
 
Tv na radio sio za naseeb yeye kuna share tuu anayopata ila sio biashara yaake inamaana mwenye hio biashara akiaamua Leo hio kumuondoa anamtoa so usisifie vitu usivyovijua

Unauthibitisho wowote juu ya hilo unaloongea
 

Umejuaje kama video ya Nandi kavujisha mondi kaka
 
Hawa wamezidiana waganga...

Huyo mmoja hirizi imeshambana, kashtukia tego
 
Unaamini uchawi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…