Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Ego ndo imemjaa kibamia
Kuna kitu kibaya Diamond "anaweza takuwa" amemfanyia Kiba ndio maana kila wakati anataka wayamalize, kama ni hivyo bora aombe msamaha yaishe maana kosa halina muda wa kuisha bila kuondoa tofauti, kama anaona muda umepita kosa limepita atakuwa anajidanganya.
 
Anawasaidia kitu ambacho wewe haukijui ila bosi wako mondi anakijua na anataka media yake ikipate kutoka kwa ali na clouds wakikose
Mimi msikilizaji wa muziki tu, Mondi labda boss wako wewe. Kiba anawasaidia nini Clouds?
 
Jamani tusidanganyane. Kiba ana Nini? Zaidi mziki. Kinywaji chake kimekataliwa (fire). Kipi kisichoweza kujificha bongo? Mwenzake huyoo na Radio. TV.. Karanga. Ubalozi kibao. Ali Kiba zaidi kumtegemea mhuza unga wa mombasa (JOHO) BASHA LA MOMBASA. zaidi ya hapo NI Nini....
mkuu sasa kama huyo johho anawaneemesha watu kwanini nawewe usiende ukapewe neema?
 
Back
Top Bottom