Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Lakini mond nae mnafiki tu meneja wake babu tale alishasema haoni umuhimu wa kiba kwenye show wasafi
 
Diamond Ni boss mzuri Sana, unajua unapotafuta pesa personal issue unaweka pembeni una focus kwenye core subject. Diamond anaweza piga show bila wao na akafanikiwa lakini ameona Ni vyema akawashirikisha jamaa zake, lakini Kama hawataki sio lazima.
Ni kweli anapesa na anaweza kuingiza nyingi sana bila wao, lakini kwa nini amekuwa akitaka sana awe nae karibu? Unaweza kuwa na pesa lakini huna amani moyoni, na kama unaweza ukaipata ni vyema kuifuata.
 
Lakini mond nae mnafiki tu meneja wake babu tale alishasema haoni umuhimu wa kiba kwenye show wasafi
Kma a, kama kuna kitu kibaya mondi alimfanyia Kiba lazima kitakuwa kina muumiza, hao kina Tale ni wapiga zumari tu bila mondi hakuna wao, wamuache atafute kile anacho hitaji wasimpangie uadui au urafiki, mondi ni mtu mzima hao mameneja washukuru kuajiriwa nae waache kimbelembele.
 
Mpaka Kiba amesimama tena kwenye muziki alihangaika sana nisikiavyo hasa visomo vya Mombasa kwa Joho vimemsaidia sana. Diamond na mama yake walishaizika nyota yake. Kiba hana hamu kabisa.

Diamond hawezi kumchezea Hamo, Chitoholi si mchezo. Aliweza kuwazima walee wa mwanzo sasa atulie.
 
Alikiba hana jipya na ameishiwa...bila bifu ilo la kutengeneza kiba solo lake ni kama LA mb doggy. Ukiona mwanaume anayependa kuonewa huruma kila siku na kujiweka anaonewa ni mjinga
 
Kwa hivyo ni ushirikina au?
Waende kwa sharti la kugawana mapato.
Wasipoenda wasije jiraumu sisi mashabiki wao kuanza kuwapotezea.
 
Diamond Ni boss mzuri Sana, unajua unapotafuta pesa personal issue unaweka pembeni una focus kwenye core subject. Diamond anaweza piga show bila wao na akafanikiwa lakini ameona Ni vyema akawashirikisha jamaa zake, lakini Kama hawataki sio lazima.
You know nothing bro hujui kinachoendelea kati ya hao wawili so bro kwa kimya tu na ukiwa msanii usijenge urafiki na mond don't try that it'll cost you big time.
 
Ni kweli anapesa na anaweza kuingiza nyingi sana bila wao, lakini kwa nini amekuwa akitaka sana awe nae karibu? Unaweza kuwa na pesa lakini huna amani moyoni, na kama unaweza ukaipata ni vyema kuifuata.
Nikweli
Unachotakiwa kujua ni kwamba Mondi ameanza kujifanya anataka kumaloza bifu na kiba, mara baada ya kuvurugana na clouds ambako saiv ali ndiye msanii wao. So mond anamtaka kiba kwa ajili ya kuishusha clouds na amegundua harmo pia anaweza chukuliwa na hao clouds ndio maana anajifanya kuwasogeza karibu harmo na kiba.

Ila anachosahau ni kwamba anawafanyia au amewahi kuwafanyia vitu vibaya kiba na harmo directly. So ni mnafiki tu, hakuna cha kumaliza bifu wala nini.
 
Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
 
Sawa mke wa kiba maana umeongea kama ulikuepo kwenye visomo na kama uliwai kufika kwa mganga wa chitoholi
Ushabiki sio mzuri kabisa kwa kitu usicho kijua

Asee JF imeingiliwa na vijitoto vya 2000 inaanza poteza mvuto izi habari za mipasho na chai huku tulikua hatuna kabisa

By the way mimi sio team kiba wala team mondi mimi team mziki mzuri
 
Mond hajaanza leo kumuomba All ashiriki tamasha la Wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…