haya ndo majibu ya wapenzi waliozoeana

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
kundi la wake za watu walikuwa
kwenye
semina kuhusu namna ya kuishi
kwa upendo
katika ndoa. Muwezeshaji akauliza,
wangapi
wanawapenda waume zao? Wote
wakanyoosha
mikono. Akauliza tena, ‘Mara ya
mwisho
umemwambia mumeo nakupenda
lini?. Majibu
mbalimbali yalitolewa, Wengine
wakisema Leo,
wengine Jana, wengine
hawakumbuki. Kisha
akawaambia, kila mtu achukue
simu yake
halafu amtumie mumewe text
yenye maneno.
NAKUPENDA MPENZI, kisha
wabadilishane
simu. Wakaambiwa kila moja
asome majibu
kwenye simu aliyoshika, majibu
yalikuwa kama
ifuatavyo;
Simu 1- Samahani nani
mwenzangu?
Simu 2- He Mama Joji unaumwa?
Simu 3- Nami pia daima
Simu 4- Nini tena umeshagonga
gari?
Simu 5- Sijakuelewa una maana
gani
Simu 7- Umefanya nini tena? Leo
sitakusamehe
Simu 8-Chukua taim yako
Simu 9-?!?
Simu 10- Acha kuzunguka unataka
shilingi
ngapi?
Simu 11 – Hivi naota?
Simu 12 – Kwa kweli leo
usiponieleza hii
mesej ulikuwa unampelekea nani
atakufa mtu
shenzi mkubwa
Simu 13 – Nilishakwambia usirudie
kunywa
pombe au ntakuacha naona
umechoka kuishi
na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…