Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Sina siri za namna hiyo hadi niwe na mapassword mengi mengi hivyo.Twitter, JF, FB, Instagram, Mpesa, Tigopesa, Airtel money, Gmail, Outlook, LinkedIn....kila moja password yake si mtu anadata.
kazi kweli kweli all in all ni usiri tuTwitter, JF, FB, Instagram, Mpesa, Tigopesa, Airtel money, Gmail, Outlook, LinkedIn....kila moja password yake si mtu anadata.
Tumia google ku save passwords Mkuu, japo mtu akishika hicho kifaa anaweza fanya maajabu kiurahisi sanaHivi hakuna app ya kutunzia password tofauti maana mimi na kubadili passwords ili niweze ku_log in ni mapacha
Elimu nzuri sana hiiMakosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri:
KUMBUKA
- Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa
- Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote
- Kutumia herufi peke yake
Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi.
Epuka kutumia taarifa kama jina lako au tarehe ya kuzaliwa kwani ni rahisi mtu kutambua. Pia, tumia neno la siri tofauti kwa kila akaunti yako ili kuongeza usalama katika kifaa chako.
Kumbuka kutumia programu za kuhifadhi neno la siri zilizopo kwenye vifaa vyako kwani zitakusaidia kukumbuka nenosiri zako pale unapozisahau.
Tatizo mkuu maana kuweka auto save ni hatari sana kama mtu akipata access ya kifaa chako, ndio maana nilitaka app ambayo security yake ipo fresh kiasi unaweza weka passwords zako zote. Halafu ukakariri password ya hiyo app tuTumia google ku save passwords Mkuu, japo mtu akishika hicho kifaa anaweza fanya maajabu kiurahisi sana