doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 45
- 56
Kumbe password ni nywila kwa kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri:
KUMBUKA
- Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa
- Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote
- Kutumia herufi peke yake
Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi.
Epuka kutumia taarifa kama jina lako au tarehe ya kuzaliwa kwani ni rahisi mtu kutambua. Pia, tumia neno la siri tofauti kwa kila akaunti yako ili kuongeza usalama katika kifaa chako.
Kumbuka kutumia programu za kuhifadhi neno la siri zilizopo kwenye vifaa vyako kwani zitakusaidia kukumbuka nenosiri zako
Nimekuwa msahaulifu sn hivyo siwezi kukumbuka password tofauti kila kituMakosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri:
KUMBUKA
- Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa
- Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote
- Kutumia herufi peke yake
Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi.
Epuka kutumia taarifa kama jina lako au tarehe ya kuzaliwa kwani ni rahisi mtu kutambua. Pia, tumia neno la siri tofauti kwa kila akaunti yako ili kuongeza usalama katika kifaa chako.
Kumbuka kutumia programu za kuhifadhi neno la siri zilizopo kwenye vifaa vyako kwani zitakusaidia kukumbuka nenosiri zako pale unapozisahau.