HAYA NDO MATOKEO YA VIJANA WA MUJIBU JkT.

HAYA NDO MATOKEO YA VIJANA WA MUJIBU JkT.

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Ni baada ya kumfanya jamaa mmoja wa bodaboda ,kurol,kucrawl na pushap sana,aliharibu kazi.,ambapo vjana walisema ni MATERIAL YA KIJESHI
 
mkuu hebu toa ufafanuzi bwana wa post yako kwa kina!

mbona unataka kuprove kwamba SUA nako wamejaa vilaza?
 
Miongoni mwa vilaza wa sua ninaowajua we pia umo sasa hicho ndo nini
 
duuh kama wasomi ndio mnaloweza kutuandikia hapa kweli elimu ya Tanzania kwisha
 
Ni baada ya kumfanya jamaa mmoja wa bodaboda ,kurol,kucrawl na pushap sana,aliharibu kazi.,ambapo vjana walisema ni MATERIAL YA KIJESHI

Dogo kaa usome usije kuliwa kichwa hapo SUA
 
jaribu kufuata kanuni za lugha ya taifa.yaana KN+KT. si kujichanganya katika maelezo yako.
 
Ni baada ya kumfanya jamaa mmoja wa bodaboda ,kurol,kucrawl na pushap sana,aliharibu kazi.,ambapo vjana walisema ni MATERIAL YA KIJESHI

czan kama walpata material hata kidogo, ya kijesh zaid ya kulima/ kukimbia kimbia 2,
na kama wangepata material ya kijesh bac wangerudi nusu kat ya wote.
 
Back
Top Bottom