Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujua kwanza ndio mambo mengine yafuate, maana huyu Jamaa aliyenipa anadai yanapatikana sana eneo alipo.Kalipe kodi kwanza ndiyo uje upewe majibu, ya hayo ni aina gani ya madini
Bei yake ikoje?, na yanauzwa kwa gram au kilo?Ni kama zircon! Soko lake ni gumu kwa Tanzania. Mara nyingi safaya pia hupatika mahali penye zircon .Safaya(sapphire) ipo katika rangi mbalimbali, nyekundu(ruby),bluu,pink,njano n.k.
Endelea kuchimba.Ukiona mengine urushe picha.
Thanks mkuu.Hizo ni rhodelite
Ova
Au redganetHizo ni rhodelite
Ova
Hizo ni rhodelite
Ova
Duuuh! Hata sijakuelewa mkuu, ebu fafanua vizuri.Afemative.......
Ova endi auti.......
Alpha lima echo tango echo mike echo november golf india november echo........
Masihara hayo brother!Tende hizo,from Zanzibar, soko lake Tanga mkuu na Ntwara
Thanks kiongozi.Physical properties of minerals
..luster
..hardness
..fracture
..colour
..streak
Chukua poda weka kwenye plate ya silver changanya na madini yako aanza kusugua hii ni hatua ya kwanza kujua kama ni madini au umepigwa kama ni madini yataacha rangi kama siyo madini poda itaendelea kuwa nyeupe
Hatua inayofuata waone wanunuzi ujibebee mpunga huo
Yaani hapo ana maana ya 'Delta India Bravo Alpha Juliet India = na jina lako la hapa JF.Duuuh! Hata sijakuelewa mkuu, ebu fafanua vizuri.
Loud and clear Ova,Afemative.......
Ova endi auti.......
Alpha lima echo tango echo mike echo november golf india november echo........
Shukrani kwa ufafanuzi.Yaani hapo ana maana ya 'Delta India Bravo Alpha Juliet India = na jina lako la hapa JF.
Nikirudi kwenye mada husika, madini kuyajua kwa kutumia picha, mara mnyi inakuwa ngumu. Jaribu kumtafuta mtaalamu aliyepo karibu na wewe.