Haya ni aina gani ya madini?.

Haya ni aina gani ya madini?.

DIBAJI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
393
Reaction score
512
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mtu mmoja kaniletea sasa mimi sijui ni mawe gani haya, naomba kama kuna watu wazoefu wa mawe waniambie haya ni madini gani? na pia soko lake liko vipi kwa hapa Tanzania.
IMG_20171107_224836.jpg
IMG_20171107_224826.jpg
IMG_20171107_224811.jpg
IMG_20171107_224818.jpg
IMG_20171107_224755.jpg
IMG_20171107_224745.jpg
karibuni wadau.
 
Kalipe kodi kwanza ndiyo uje upewe majibu, ya hayo ni aina gani ya madini
 
Nataka kujua kwanza ndio mambo mengine yafuate, maana huyu Jamaa aliyenipa anadai yanapatikana sana eneo alipo.
 
Ni kama zircon! Soko lake ni gumu kwa Tanzania. Mara nyingi safaya pia hupatika mahali penye zircon .Safaya(sapphire) ipo katika rangi mbalimbali, nyekundu(ruby),bluu,pink,njano n.k.
Endelea kuchimba.Ukiona mengine urushe picha.
 
Bei yake ikoje?, na yanauzwa kwa gram au kilo?
 
Physical properties of minerals
..luster
..hardness
..fracture
..colour
..streak

Chukua poda weka kwenye plate ya silver changanya na madini yako aanza kusugua hii ni hatua ya kwanza kujua kama ni madini au umepigwa kama ni madini yataacha rangi kama siyo madini poda itaendelea kuwa nyeupe

Hatua inayofuata waone wanunuzi ujibebee mpunga huo
 
Tende hizo,from Zanzibar, soko lake Tanga mkuu na Ntwara
 
Afemative.......
Ova endi auti.......
Alpha lima echo tango echo mike echo november golf india november echo........
Duuuh! Hata sijakuelewa mkuu, ebu fafanua vizuri.
 
Physical properties of minerals
..luster
..hardness
..fracture
..colour
..streak

Chukua poda weka kwenye plate ya silver changanya na madini yako aanza kusugua hii ni hatua ya kwanza kujua kama ni madini au umepigwa kama ni madini yataacha rangi kama siyo madini poda itaendelea kuwa nyeupe

Hatua inayofuata waone wanunuzi ujibebee mpunga huo
Thanks kiongozi.
 
Duuuh! Hata sijakuelewa mkuu, ebu fafanua vizuri.
Yaani hapo ana maana ya 'Delta India Bravo Alpha Juliet India = na jina lako la hapa JF.

Nikirudi kwenye mada husika, madini kuyajua kwa kutumia picha, mara mnyi inakuwa ngumu. Jaribu kumtafuta mtaalamu aliyepo karibu na wewe.
 
Shukrani kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom