Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

List sitaielewa kama Jesuit father's wa pale mabibo/kigogo luganga hawapokei.
Wale jamaa WALIKUJA KUTOA elimu kwa Bei nafuu ila VIONGOZi we.tu wakaleta siasa.
 
Na yamesaidia sana.
 
Mimi nimesomeshwa na wao katika shule zao.
Jumuiya ya Mtakatifu Benedicto.
Vyuo vya ufundi vimejengwa na wao karibu kila penye misheni zao.
Hayo ni mashirika machache ambayo mtoa mada ame yataja.
Benedicto ndiyo Lile la Benedictine fathers?
Wale wajerumani ni wa viwango vya juu sana. Wamejenga vyuo vya ufundi, shule, viwanda vya kila aina, na hospitali kibao.
 
Hakuna huduma hapo bali hayo ni makampuni ya uzalishaji mali kama yalivyo mengine,hata boda boda wanatoa huduma hata makuli wabeba mizigo nao wanatoa huduma sio makanisa tu
kwahiyo ni sahihi upande wa pilii kuunda mashirika ya kijeshi kuwadhuri watu na sio kuwasaidia watu
 
lakini umaskini ndio umezidi kuwa mkubwa!
niliwahi kufanya kazi kwenye shirika fulani la namna hizo kwa kiasi kikubwa kile kinachoitwa kusaidia ni lengo lao la mwisho katika ya malengo walio nayo.
ipi bora hayo mashirika au boko haram ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…