Haya ni baadhi ya matukio ambayo wanafunzi huwa wanayafurahia vyuoni:

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
1. Ile assignment haitakusanywa leo.
2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi.
3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual.
4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo.
5. Hii assignment ni page moja tu na si lazima uichape.
6. Final exam soma test 1 and 2 na ile assingment ya kwanza.
7. Matokeo yametoka hakuna sap.
8. Ratiba inaonyesha vipindi vitakuwa vinaisha Alhamisi saa sita.
9. Maswali mawili yalikosewa so, mtapewa free marks
10. ........
 
Haya yote wengine kwetu hayana maana, chuo kwetu ilikuwa mnadani:disapointed::disapointed:
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru International School Mbeya.
 
Kwa wale waliosoma ruaha university college mjini iringa mwaka 2009/2012 mnaikumbuka "sign soon"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…