yakiti's son
Member
- May 19, 2013
- 12
- 0
Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih wazaz wajiandae wiki 1 na kupeleka vjana wao shulen?