Haya ni kwa vijana, wazazi, ndugu na jamaa wa kidato cha nne 2012.

Haya ni kwa vijana, wazazi, ndugu na jamaa wa kidato cha nne 2012.

yakiti's son

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih wazaz wajiandae wiki 1 na kupeleka vjana wao shulen?
 
Nenden private mkipige kitabu, achen kupiga mayowe .
 
This iz not fair hata kidogo.. Af chaajab wapo kmy as if hakjatokea k2..
 
Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih wazaz wajiandae wiki 1 na kupeleka vjana wao shulen?

Yani wizara ya elimu ni hovyooo kabisaaaaa, kwa upande wangu nishajichokea zangu, nimewaachia wafanye watakavyo, kama kusoma tuit nimesoma mbka nimechoka, nimeamua nifanye mambo yangu tu, na ninavyohisi shule tutaenda mwezi wa nane 2, kwa hiyo wenzangu fanyeni yenu tu.
 
Back
Top Bottom