yakiti's son
Member
- May 19, 2013
- 12
- 0
Nenden private mkipige kitabu, achen kupiga mayowe .
This iz not fair hata kidogo.. Af chaajab wapo kmy as if hakjatokea k2..
Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih wazaz wajiandae wiki 1 na kupeleka vjana wao shulen?