Haya ni maajabu ya tume ya ajira!!!!tutafika????????????? ???

Shukuru umeitwa, kuna wenzio tumeandika barua hadi pen inaisha na unaiona kabisa haiandiki lakini no kuitwa sasa sijui hivo vivuli vyetu wanapeleka wapi ndugu zanguni, au ndo ule mtindo wa kuchukua vyeti vya watu na kumpa ndugu wa mtu aombee kazi!! Unaweza kukuta jina lako kuna mtu anakula bingo mahali we unahangaika mtaani. Ni Hatari maana sioni kazi wanayofanya kwa kweli.
 

Ajabu ni ipi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…