Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Tunajua Asilimia kubwa ya watanzania bado hawaelewa au kujua kabisa haki yao ya msingi katika taifa ni ipi kupitia katiba.
Na hata kama tunajua ila bado haki yetu ya msingi kutoka kwa serikali haina maana sababu serikali hiyo hiyo ndiyo inakupa kibali na hiyo hiyo inakunyima kisa inaogopa popo kuamka muda si wake!.
20231110_151543.jpg

Pichani juu simjui huyo jamaa ila nimeona sehemu na boksi lake la maandishi nahisi mwenyewe anasema anaandamana 😄!.

Hapana, hapa aandamani ila ameamua kusimama Chumbani/ofisini akaamua kujipiga picha ili tu kutoa hisia pasipo kutumia ile nimesema haki yake.

20231110_151543-removebg-preview.jpg


Kwa kuonyesha msisitizo na kukosa uelewa ningeweza kumshauri hata kidogo angetudanganya kwa AI image kwamba kuna support nyuma , sababu bado kuna binadamu wengi sana hawafahamu hii kitu, so ingekuwa na hauweni kuliko kutuwekea picha ya chumbani!!.

Afadhali hata huyu mama wa watu Ananilea Nkya katoka zake na gari kashuka location ipo salama kapigwa picha jwa simu yake kaposti.

20231110_155741.jpg

Sasa yule kijana mwenzenu katia haibu akiwa ndani, hata AI ameshindwa kuitumia kutuhadaa 😂!.
 
Back
Top Bottom