wangekulia zanzibar saizi wangekuwa vilaza wakutupwa.
Radhford naye ni mpemba kweliUongo Upi hebu fafanua
Nchi hii shetani aliinyeaga sana!
Nimecheka sana!dahNchi hii shetani aliinyeaga sana!
Enzi hizi za internet uongo haufaiiHuyu mmoja Anaitwa Mohammed Bebeto kwao ni Wete PEMBA na sasa hivi ni mchezaji na mfungaji kwenye hii time yake huko ulaya.
Na mwengine huyu wa Manchester United Anaitwa Rashid Mohammed ni Mtoto wa Gombani PEMBA.
Hivi ni vipaji vinavoinekana zaidi kwenye media za kimataifa.
Mkuu labla kije kizazi kingine tofauti na chetu hapo bongo bhana hata kama una kipaji kitauliwa tu kwa fitna Hasheem Thabit yupo wapi? Samatta tu tumebaki naeNdiyo mwanzo mzuri, Vijana wengi watafuata nyayo ihizo.....!!