Haya ni Machotara ya Kipemba wanaocheza Ulaya

Haya ni Machotara ya Kipemba wanaocheza Ulaya

Ondosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
hahahaa..umeumbuka
article-2623264-1DAAF30600000578-235_634x838.jpg

Emerging United talent ready to make the jump if called upon by
 
Mkuu labla kije kizazi kingine tofauti na chetu hapo bongo bhana hata kama una kipaji kitauliwa tu kwa fitna Hasheem Thabit yupo wapi? Samatta tu tumebaki nae
Mkuu, Weka Hope na tuwe optimmy.. mambo yatakuwa Byeeein siku za usoni !!
 
Tupe picha yake akiwa mdogo hapo Pemba.

Huyu hakuzaliwa Pemba, nimeiweka picha yake alipokuja kutembea Pemba Akiwa mdogo,

Kuna mwengine anachezea asernal ndogo ninamfatilia nitakuwekea hapa huyo pia baba yake alikuwa anachezea timu ya Jamhuri Wete Pemba.
 
UMEMSAHAU ADAM NDITI WA CHELSEA NAYE NI MPEMBA

Namba unikumbushe vizuri ninakumbuka yupo anchezea Arsenal ni Mpemba na taka kumuweka hapa ninaamini hata mzee wake nitampata jina lake.
 
watu bwana, mimi sijui huyo, ila kuna watz wengi wamezaliwa uingereza, huwezi kusema sio watz. kuna msomali jirani yangu amezaa watoto wake wanne uk na wakija likizo hawajui kiswahili zaidi ya kiingereza na kisomali, baba yao kakulia tz mpaka miaka ya 90 kenda uk, wakikipiga darajani mtawakataa...
 
Wazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
Unaendeleza uongo..hii hapa instagram a/c ya kakayake..anaitwa Dwain.

@dwainemay83 • Instagram photos and videos
 
Inanikumbusha Patrick viera France ilipocheza na Senegal baada ya kuikana senegal world cup ya 1998 mechi ya kwanza ulipigwa mwimbo wa Senegal..alitoa machozi kwa kujutia kitendo alichokifanya..
 
Ondosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
yaani wapemba wana shida sana..wanapenda kujikweza ndio maana mama zao walizalishwa sana na waarabu..Unatuletea uongo afu unapewa ukweli unaleta songombingo
 
Namba unikumbushe vizuri ninakumbuka yupo anchezea Arsenal ni Mpemba na taka kumuweka hapa ninaamini hata mzee wake nitampata jina lake.
Umeingizwa king na wewe umeingia..nani kakwambia Nditi ni mpemba?
 
Back
Top Bottom