JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
hahahaa..umeumbukaOndosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
Emerging United talent ready to make the jump if called upon by
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa..umeumbukaOndosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
huyo kazaliwa uingereza mkuuMuangalie RashFord jina wanalomuita Waingereza pamoja na picha zake za utoto huko Pemba
Mkuu, Weka Hope na tuwe optimmy.. mambo yatakuwa Byeeein siku za usoni !!Mkuu labla kije kizazi kingine tofauti na chetu hapo bongo bhana hata kama una kipaji kitauliwa tu kwa fitna Hasheem Thabit yupo wapi? Samatta tu tumebaki nae
Tupe picha yake akiwa mdogo hapo Pemba.Ondosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
Hivi huyu kaishia wapi?? Maana hajasikika muda.UMEMSAHAU ADAM NDITI WA CHELSEA NAYE NI MPEMBA
Tupe picha yake akiwa mdogo hapo Pemba.
Unaendeleza uongo..hii hapa instagram a/c ya kakayake..anaitwa Dwain.Wazungu waache wampe majina hata 50 lkn bado asili itabaki pale pale. Hapa hatukuongea kuhusu wapi amezaliwa, sasa in uk kuna wapemba wasiopungua 200,000 hao ni kutoka waliokwenda miaka ya 90 kipindi hicho halikuwa lazima upate visa.
...hahahahahaha...mpemba kasepa kenda kuharisha urojo!Unaendeleza uongo..hii hapa instagram a/c ya kakayake..anaitwa Dwain.
@dwainemay83 • Instagram photos and videos
yaani wapemba wana shida sana..wanapenda kujikweza ndio maana mama zao walizalishwa sana na waarabu..Unatuletea uongo afu unapewa ukweli unaleta songombingoOndosha uchafu wako huu, umeuokata wapi?
Umeingizwa king na wewe umeingia..nani kakwambia Nditi ni mpemba?Namba unikumbushe vizuri ninakumbuka yupo anchezea Arsenal ni Mpemba na taka kumuweka hapa ninaamini hata mzee wake nitampata jina lake.
Mkuu achana na watu wenye asili ya kisiwa cha pemba wanapenda kujikweza sana..yaani wanapenda waarabu hata leo hawajui asili yao ni wamakonde wa Pemba pale Msumbiji...hahahahahaha...mpemba kasepa kenda kuharisha urojo!
..alitaka kutufunga kamba za mdizi!dah