Sirluda Member Joined Dec 26, 2016 Posts 12 Reaction score 8 May 2, 2018 #1 Wadau nilikuwa shambani siku za karibuni nilikutana na kitu cheusi kinachong'aa lakini sio makaa ya mawe.Ni kizito kina matundu matundu na hakishiki kwenye sumaku.Naombeni wanaoweza kutambua ni kitu gani mnieleweshe.Picha nimeambatanisha.Asanteni!
Wadau nilikuwa shambani siku za karibuni nilikutana na kitu cheusi kinachong'aa lakini sio makaa ya mawe.Ni kizito kina matundu matundu na hakishiki kwenye sumaku.Naombeni wanaoweza kutambua ni kitu gani mnieleweshe.Picha nimeambatanisha.Asanteni!
ZOPPA JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 2,729 Reaction score 2,891 May 2, 2018 #2 Nenda wizara ya madini kawaonyeshe sample wantakupa muongozo