Haya ni madini gani?

Haya ni madini gani?

Sirluda

Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
12
Reaction score
8
Wadau nilikuwa shambani siku za karibuni nilikutana na kitu cheusi kinachong'aa lakini sio makaa ya mawe.Ni kizito kina matundu matundu na hakishiki kwenye sumaku.Naombeni wanaoweza kutambua ni kitu gani mnieleweshe.Picha nimeambatanisha.Asanteni!
20180502_100911.png
20180502_101046.png
20180502_101238.png
 
Nenda wizara ya madini kawaonyeshe sample wantakupa muongozo
 
Back
Top Bottom