nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 352
- 582
Wakuu,
Niko site huku upareni nimekutana na haya madini baada ya utafiti wa juu juu nimegundua ni either Red garnet au Rubby. Kwa wale wataalam wa madini hebu nipeni uhakika ni madini ya aina gani? Quality yake ni kiwango gani? Soko lake likoje? Naambatanisha na picha
Sent using Jamii Forums mobile app