Subiri wanakuja wajuviWakuu,
Niko site huku upareni nimekutana na haya madini baada ya utafiti wa juu juu nimegundua ni either Red garnet au Rubby. Kwa wale wataalam wa madini hebu nipeni uhakika ni madini ya aina gani? Quality yake ni kiwango gani? Soko lake likoje? Naambatanisha na pichaView attachment 1047749
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bei yake mkuu...yanauzwa kwa grams au caret? Arusha naweza kupata soko lake?almandate.
Mkuu hebu icheki hapo nimepiga picha ingine sema camera yangu siyo nzuri sanaIpige picha vizuri tuitambue
Ila inaonesha ni quality ya chini sana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bei yake ikoje mkuu wapi naweza kuipeleka kucheki quality? Pia ninazo sample nyingine zilizofanana na green garnet....plz help
Iweke kwenye karatasi nyeupe uipigeMkuu hebu icheki hapo nimepiga picha ingine sema camera yangu siyo nzuri sanaView attachment 1047849
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi nimepiga saivi kwenye giza kwa msaada w tochi ya simIweke kwenye karatasi nyeupe uipige
Mawe huwa tunapiga hivi mkuu yanatokea clear
Ova
View attachment 1047853
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bei yake mkuu...yanauzwa kwa grams au caret? Arusha naweza kupata soko lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bei yake mkuu...yanauzwa kwa grams au caret? Arusha naweza kupata soko lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haifiki kilo mkuu...ni kama gram 50 ....je kilo moja inakuwa bei gani?unayo kiasi gani?
Haifiki kilo mkuu...ni kama gram 50 ....je kilo moja inakuwa bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Red garnetHizi nimepiga saivi kwenye giza kwa msaada w tochi ya simView attachment 1047876View attachment 1047877View attachment 1047878
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo kitamboNilikuwa sijui kuna madini yanaitwa almandate
Hii ndugu ni nini? Au jiwe la kawaida tuIpo kitambo
Kuna red garnet na kuna lorado garnet(hii inapatikana sana msumbiji)
Na pia kuna green garnet kama inavyonekana kwenye picha hpa ila ni quality ya caboshon uzaji wake ni kwa makilo
Ova
View attachment 1049090
Sent using Jamii Forums mobile app