Hamna madini apo hayo n mawe kama mawe mengineHabari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.
Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone
Hii sio dhahabu. Nahisi ni amber, sio madini in such bali ni fossils na hutumika zaidi kwa manukato.Chaliifrancisco njoo hapa kuna jambo linatakiwa utatuzi.
Hujui kitu, mawe yote ni madini, yanazidiana thamani tu, hata Kokoto ni madini.Hamna madini apo hayo n mawe kama mawe mengine
Hahaha kwani mawe ni nini mkuu? Hivi ujui mawe/ miamba yote ni madini? Kwasababu miamba/rocks zimekuwa composed with different chemical compounds. Hata huu mchanga unaoukanyaga wa kujengea nyumba nao ni MADINI sema ni among of the unvalued minerals in the world. Ili upate thamani inabidi uukusanye mwingi na kuuza in bulk. Kama vile unavyoagiza roli la mchanga lenye ujazo wa Tani 10 kwa 1.5k hiyo ndio thamani yake comparing to other minerals like gold ambayo 1gram inaizwa kwa 130k. So usiseme hakuna madini hapo, elimu ni nzuri sana😊Hamna madini apo hayo n mawe kama mawe mengine
Umefanya la maana kumwita huyu mwamba, nilimsahau kwenye tags. Atupe maujuzi hapa🤝Chaliifrancisco njoo hapa kuna jambo linatakiwa utatuzi.
Asante mkuu kwa changizo lako, kwenye post no. #14 nimejaribu kumuelimisha. Inaelekea hana elimu ya miamba ambayo hufundishwa kuanzia form one kwa mitaala yetu nchini.Hujui kitu, mawe yote ni madini, yanazidiana thamani tu, hata Kokoto ni madini.
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.
Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone